vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi alitimiza tu wajibu wake.ila kwa sisi raia wala kwanza hata atujuangi hizo maneno.Kha! Wakati balozi wenu mwenyewe alikwenda kulalamika kwenye kituo cha habari cha Citizen TV, wala hata haikua issue kwetu.
Explanation ni kiswahili ?Hicho ni kiswahili sanifu kaka 😎😎
Umeelewa nimesema kaharibu wapi ?
Hata mimi nimemuelewa ndio maana nikamwambia kaharibu lugha.Amechanganya na lugha yetu ya mtaani huku, hivyo sisi tumemuelewa.
Standard swahili menya ni peel au husk, huwezi kumfundisha mtanzania lugha yake
Balozi alitimiza tu wajibu wake.ila kwa sisi raia wala kwanza hata atujuangi hizo maneno.
Nyinyi mme mtusi rais wetu na bado mna weweseka kwa media every day.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili kimetulia , matunda ya venturing "abroad" .MK254, Boss, you should be the next Ken Walibora.
Nenda kwenye jukwa lenu la siasa humu JF uone, yaani siku hiyo mlifungua uzi na kufikia jioni wachangiaji walikua wanachezea kwenye maelfu...hehehe
Sisi huku urais ni taasisi, wala huwa hatupi shida, nyie mumezoea kumtukana rais wetu, mara mnamuita mvuta bangi, teja n.k. ila kwetu hilo jambo ndogo sana maana kama ukweli anavitumia hata tukiweweseka kama nyie haitabadilisha kitu.
Rais wetu husemwa sana, ndivyo ilivyo desturi ya marais kusemwa kwenye mataifa yenye utawala wa demokrasia, ila nyie hamjazoea kitu kama hicho, mnalia sana ilhali kwanza hata hakutukanwa, kasemwa tu ni mkaidi, hilo neno nimewaletea kamusi yenu yenyewe na kuwaonyesha tafsiri yenu nyie wenyewe, inasema ni mtu anaayekinzana na ushauri, anapuuza ushauri wowote na kuenda kinyume na wengine.
Sasa rais wenu alikataa kuskliza ushauri wa waaalam na kusema Corona ikiingia kanisani itaungua, kule kwenye chimbuko la hizi dini tena ndani ya madhabahu watu wanaumwa Corona.
Kuna Mtanzania anayeweza kumfikia Ken Walibora ama Ali Mazrui kwa Kiswahili? Alafu mbona wee Mtanzania Kiswahili chako hakifikii Cha MK254 hata asilimia kumi?Kiswahili kimetulia , matunda ya venturing "abroad" .
Nahisi mzito wa lugha.Kuna Mtanzania anayeweza kumfikia Ken Walibora ama Ali Mazrui kwa Kiswahili? Alafu mbona wee Mtanzania Kiswahili chako hakifikii Cha MK254 hata asilimia kumi?
Shubash,,hivi nyinyi nyang'au mna rais? Wakenya mnateseka sana na Tanzania,sijui ni kwa nini!!!Nenda kwenye jukwa lenu la siasa humu JF uone, yaani siku hiyo mlifungua uzi na kufikia jioni wachangiaji walikua wanachezea kwenye maelfu...hehehe
Sisi huku urais ni taasisi, wala huwa hatupi shida, nyie mumezoea kumtukana rais wetu, mara mnamuita mvuta bangi, teja n.k. ila kwetu hilo jambo ndogo sana maana kama ukweli anavitumia hata tukiweweseka kama nyie haitabadilisha kitu.
Rais wetu husemwa sana, ndivyo ilivyo desturi ya marais kusemwa kwenye mataifa yenye utawala wa demokrasia, ila nyie hamjazoea kitu kama hicho, mnalia sana ilhali kwanza hata hakutukanwa, kasemwa tu ni mkaidi, hilo neno nimewaletea kamusi yenu yenyewe na kuwaonyesha tafsiri yenu nyie wenyewe, inasema ni mtu anaayekinzana na ushauri, anapuuza ushauri wowote na kuenda kinyume na wengine.
Sasa rais wenu alikataa kuskliza ushauri wa waaalam na kusema Corona ikiingia kanisani itaungua, kule kwenye chimbuko la hizi dini tena ndani ya madhabahu watu wanaumwa Corona.
noUmeelewa nimesema kaharibu wapi ?
Standard swahili menya ni peel au husk, huwezi kumfundisha mtanzania lugha yake
Na hii google mislead ndio wanatumia chang'aa media zenu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dude, menya kiswahili kwenye sentensi ni "kuongea kiswahili kwa ufasaha" ... inaweza kutumika hivyo pia...
Kumenya lugha ... ni kuzungumza lugha kwa ufasaha ... going to the details of understanding a language..
Kiswahili asili yake Lamu kaka.. Wacha kujiaibisha ....eti lugha ya mtanzania 😀 😀 😀
Si kila kitu Tanzania, Kenya tunasoma kiswahili as a compulsory lang from class 1 to form 4. ..(Kuandika Insha, Kiswahili Lugha na fasihi)...
Hata ukiskia tukionge sheng... its only that we don't care..
Swahili is an Arabic/Bantu Language... it borrows from both languages...and depending on the geographic😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiswahili na Kenya wapi na wapi? Eti kiswahili asili yake Lamu?
Kiswahili kina terminologies nyingi za Shona Zimbabwe kuliko hayo makabila yaliyopo Lamu, 80% ya terminologies za kiswahili ndio makabila yaliyopo Tanzania, upo hapo?
Hakuna Mkenya anayeishi kwa sasa anaweza kumfundisha mtanzania lugha yake, nah nah nah 😅😅😅
Mi nimekuelewa vr wakenya hua mnakiswahili kigumu sana kwa neno ukaidi Kenya ni la kawaida ila kwa huku mtu mkaidi tena kutumia kwa kiongozi sio zuri muungwana anapovuliwa nguo huchutama.Siku kadhaa sasa nimeona kituo cha runinga cha Citizen TV Kenya kikipeperusha tangazo fulani la kumsifia rais wa Tanzania, kama njia moja ya kumkosha na kumpunguza hasira baada ya balozi wa Tanzania kuwalalamikia kwa wao kutumia maneno "ukaidi wa rais Magufuli" pale walipokua wanaeleza jinsi gani yeye amehamasisha Watanzania waendelee na maisha kama kawaida na kutegemea maombi kipindi hiki Corona inatesa dunia, kinyume na marais wote wa ukanda huu na duniani ambao kila mmoja alikua anatahadharisha wengine hata wakipiga lockdown kwenye mataifa yao.
Sisi Wakenya neno "ukaidi" hutumika pale mtu anakaidi na kupuuza ushauri wowote, shingo ngumu, yaani kwa kingereza tafsiri yake ni "stubborn - not to change one's attitude or position on something, especially in spite of good arguments or reasons to do so" kwa mfano, rais Magufuli alitanganza kanisani tena mbele ya vyombo vya habari kwamba yeye amekula mkate wa sakramenti bila kujali Corona maana corona itaungua kanisani.
Hivyo hapo tunasema alikaidi na kupuuza ushauri wa kitaalam na kuegemea kwenye mtazamo wa kidini, mimi binafsi ni Mkristo na ninamuelewa sana anaposema Corona itaungua kanisani, lakini hayo maneno yangetamkwa na rais Uhuru wa Kenya, yaani angetamani kuihama nchi maana angesemwa sana huku, tena zaidi ya "ukaidi wa rais Uhuru", maneno yangetumika makali sana na yenye hisia kali kali.
Sisi kwetu tunaamini urais ni taasisi, sio ofisi ya kuendeshwa kwa hisia za mtu au misingi ya kidini, maana nchi yetu hii tuna watu mamilioni ambao ni wafuasi wa dini zingine ambazo hazina habari na Yesu.
Raisi Uhuru hututangazia tuombe ila anahamasisha tahadhari tena kwa kusisitiza sana na kuongeza mikwara kwa wale watapatikana wakikiuka kanuni elekezi, ikiwemo utumiaji wa barakoa nchi yote, utakasaji wa mikono muda wote na mengine mengi.
Hivyo kwa rais kutangaza kinyume na tahadhari zinazohamasishwa na waziri wa afya, kawaida kwetu tunachukulia huo kama "ukaidi". Sasa Citizen wataendelea na hiyo misifa, lakini tatizo asilimia kubwa ya wanaoitazama ni Wakenya, wengi wanabaki kushangaa kipi kikubwa hapo na ndio maana wengi wanaeleza hisia zao kwenye Tweeter.
Kwa baadhi ya Wakenya kama mimi ambao tumewahi kuishi Tanzania, tutaelewa maana tunajua jinsi kule walivyo, yaani rais bado ana mamlaka makubwa na bado wanatumia katiba ya zamani na kumtaja rais lazima uwe makini sana, hata kwenye ulevi hauwezi kuthubutu, tumesoma habari za watu kutiwa lockup kisa tu walipiga picha kuta zenye nyufa kwenye majengo aliyozindua rais, hivyo ujasiri wa kutumia maneno kama "ukaidi wa rais" ni kitu kikubwa sana kwao.
Lakini kwa Wakenya ambao hawana habari na Tanzania na wamezoea uongozi wa kitaasisi chini ya katiba mpya, lazima washangae sana. Hivyo kwa tofauti hizi za kimtazamo, Watanzania mtuwie radhi, hilo neno "ukaidi" ni la kawaida sana huku kwetu pale unakaidi ushauri.
President Magufuli says coronavirus cannot survive in churches : The Standard
Tz Ina influence kubwa Sana ukanda huu... influence ya ujinga. Maxence Melo amafungwa miaka ngapi? Na ni JF tu Sio media.Halafu wakenya walivyo punguani wanamshambulia Magufulis badala ya kudeal na chang'aa media yao
Ila kiukweli tuweni wawazi, Tanzania Ina influence kubwa sana ukanda huu
LOL nikiangalia Kenya inavyoufyata kila time Tanzania ikikohoa ni mpaka huruma
Walirudisha dhahabu zetu
Walirudisha pesa zetu
Walimtia ndani mbunge wao alieongea shit kuhusu watanzania
Wanamuomba msamaha JPM week nzima
Gezaulole haya sio mambo madogo ujue
😅😅😅😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿