Maana ya neno "ukaidi" kwa mtazamo wa Kikenya, tunaomba Watanzania mtuwie radhi

Mi nimekuelewa vr wakenya hua mnakiswahili kigumu sana kwa neno ukaidi Kenya ni la kawaida ila kwa huku mtu mkaidi tena kutumia kwa kiongozi sio zuri muungwana anapovuliwa nguo huchutama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona nawapa link ya chuo kikuu cha Dar es Salaam ambapo tafsiri ipo ya hilo neno "ukaidi" ila mnapuuza na kurudia yale yale.....hilo neno linatumika kwa mtu anayepuuza ushauri na kuwa shingo ngumu, yaani stubborn. Rais wenu alipuuza ushauri wa wataalam hivyo ikabidi litumike kwake.
Soma tafsiri ya hilo neno hapa tena kwa chuo chenu wenyewe (KISWAHILI - KIINGEREZA)Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Tofauti ya Kenya na Tanzania ipo kwenye jinsi rais anaonwa na jamii, hapa kwetu urais ni taasisi, akifanya vya hovyoo husemwa tu maana tunatumia katiba mpya, kwenu huko hata kutaja jina lake mnaogopa kupita maelezo. Nyie hupata uhuru wa kumtukana rais mnapomtukana wa kwetu, huwa mnamuita mvuta bangi, teja na maneno mengi tu, ila huwa hatuoni kama issue maana kama ni kweli anayafanya basi asemwe tu.
 
Mimi ni Mtanzania. Nakubaliana na wewe. Mkaidi siyo tusi. We have a stubbon head of state. That's it. Halafu wanavyofinya uhuru wa kujieleza hapa Tanzania, hivyo hivyo wanataka iwe Kenya. Citizen TV ingekuwa Tanzania leo hii wamiliki wake wangekuwa jela ama mahabusu kwa kesi za kuhujumu uchumi. Lakini Kenya vyombo vya habari vina uhuru wa kumkosoa hata Rais Uhuru. Hiyo tu ndio tofauti iliyoleta haya yote.
 
Nadhani ungejikita zaidi kuhusu mbinu za wananchi toka kenya kukimbilia huku kwetu kwa kutumia njia za panya.
Huku wanakimbilia nini???
 
Nadhani ungejikita zaidi kuhusu mbinu za wananchi toka kenya kukimbilia huku kwetu kwa kutumia njia za panya.
Huku wanakimbilia nini???

Watakua wajinga sana hao, muwatandike viboko, unakimbilia kwenda kwa nchi ambayo inatangaza idadi ya waathirika wa Corona 53 ndani ya masaa 24, kitu ambacho sisi hatujakumbana nacho licha ya kupima maelfu ya watu. Huko mnapima wachache na kuibuka na namba za kiajabu ajabu, je mngekua na uwezo wa kupima maelfu kama sisi.
 
Then English is French and Latin language/ Scotland settlers language

Calling swahili Arabic language is the demonstration how stupid you are and limited exposed to the Swahili History

Unqualified to handle talk with me about the language, idiot.
 
Then English is French and Latin language/ Scotland settlers language

Calling swahili Arabic language is the demonstration how stupid you are and limited exposed to the Swahili History

Unqualified to handle talk with me about the language, idiot.
you don't understand your own language nigger...akili punguani wewe..
Nani hajui kiswahili asili yake mchanganyiko wa maneno ya Kiarabu na Coastal Bantus ????

Stop pushing me into the sewage that you are already in...

Kwani jana ndiyo internet imefika kwenu uanze ubishi kwenye mambo yaliyo wazi???

Enda ujielimishe kwanza... ukimaliza kuja tuendelee na mada.. MOFO
 
LOL you need minimal consideration of about 3 years general linguistic fundamentals program, for at least hold a several minutes conversion with me about this topic, you are deep down naked idiot when it comes to this aspect

And of course arguing with a fool like you is a self reputation crucifix to me.

Waterhead
 
go argue with your equivalent Bonobos
jumping from one nonsensical issue to another...

Do you have a small penis or something...
 
MK254 wala msisumbuke na habari ya kuomba radhi, hata ikiwa kwa maana ile nyingine bado kweli ni 'mkaidi'
 
Kwakuongezea tu kitu wasichokijua ndio maana kiswahili duniani kote kikawa lugha namba 1 Tanzania hata mtoto wa miaka 4 utaongea nae mtaelewana na Tanzania ndio maana Kuna kabila Zaid ya 121,Sasa kabila hiz ndizo zinazounda kiswahili ,aliona wapi kabila 2 au 3 zikaunda lugha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope, Alichosema ni sawa,
Labda niweke hivi
Ukaidi- Disobedience
Uasi- Rebellion
Ubishi-Controversy

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili lijamaa MK54 halijui Kiswahili, na lina makosa lukuki, ila kwakua linasifiwa linahisi linajua -- while the matter of fact is, s/he has a lot to atone for.

Nimelisoma jana usiku huko kwa "Habari Mchanganyiko" limeandika na makosa mengi.
 

Hawa jamaa hadi sasa bado wanasongamana kwenye vilabu na madaladala, wamekaidi na kupuuza ushauri wowote wa kitaalam, siku tatu za maombi zimeisha kama namba zao zimepandisha kwa mkupuo, wamesahau kwamba Mungu ametupea hekima tuitumie, tunamwomba na pia kutumia hekima aliyotupea, tuchukue tahadhari kwa kutumia hiyo hekima, haiwezekani umuone simba halafu ujongee maeneo yake kisa umeomba.

 
[emoji3][emoji3][emoji3] tuna majirani wa ajabu sijawahi ona!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope, Alichosema ni sawa,
Labda niweke hivi
Ukaidi- Disobedience
Uasi- Rebellion
Ubishi-Controversy

Sent using Jamii Forums mobile app

Taratibu naona mumeanza kuelewa nini maana ya neno "ukaidi"...hizi namba zimekaa vibaya sana, endeleeni na huo ukaidi ila kwa sasa mumetuzidi hata na active cases maana kwetu wamepona 69, endeleeni na mibanano kote kote huo ukaidi utawatia akili.

 
WTF!! 87?? Ukaidi kweli
 
Watanzania itafika muda tu tutakubali kuwa tushapoteza uelekeo nyie komaeni kuwaponda kina MK254 ila ukweli tunajua tushachochora.

Wanachoongea wakenya ni ukweli mtupu japp mchungu.Time will tell si zaidi ya siku 2 to come tutakamata usukani wa East Africa kaenye cases,vifo halafu tyendelee tu kutetea upupu unaofanywa na watukufu wasiokosolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…