Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni kitandawili. Swali je tulishinda vita au tulishindwa?, Tulipata nini baada ya vita je uchumi wetu ulikua au ulishuka?
Je vita ya Russia na ukraine nani mshindi? hapa kuna mjadala mkubwa ambao wenye akili za upembuzi ( analytical mind ) ndio wanaweza kuleta majibu kupitia vyanzo mbalimbali. Ushindi wa vita upo wa aina mbili yaani ushindi mdogo na ushindi mkubwa.
Ushindi mkubwa ni ule ambao unavunja nguvu yote ya adui kwa mapigo na kumfanya ashindwe kuendelea na mapambano, ushindi mdogo ni pale unapomrudisha adui nyuma kwa mapigo na kumfanya akimbie kuokoa maisha yake akajipange upya ( regrouping ).
Russia ndio alianza kumvamia jirani yake kwa mapigo makali ( escalation ) na Kisha jirani yake akajibu mapigo kwa counter offensive. Hapa swali nani mkali kwenye close combat tactics? Wenye ujuzi njoeni mleta facts, maana ushindi kwenye uwanja wa medani ni controversial?
Kama hujui lolote kuhusu vita usichangie