matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa.
Najiuliza
Watu wamehamia kwenye burudani?
Siasa hupamba moto wakati wa Uchaguzi tu?
Watu wamekata tamaa na Siasa?
Ni hayo tu. Nini maoni yako.
Najiuliza
Watu wamehamia kwenye burudani?
Siasa hupamba moto wakati wa Uchaguzi tu?
Watu wamekata tamaa na Siasa?
Ni hayo tu. Nini maoni yako.