Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa.

Timu za Simba na Yanga zinatumiwa na CCM kama kichaka cha kupumbaza watu huku wao wakiendelea kupiga pesa za umma, familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi ndiyo zinaamua kesho yetu sisi tupo tuna betty pekee