Sidhani kama wamemlazimisha mtu yoyote kuandamana.
Kabisa ila wangeweza ku influence ushiriki mpana zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama wamemlazimisha mtu yoyote kuandamana.
Naunga mkono hoja.
4. Anasema yaunganishwe makundi yote kudai katiba mpya ambamo humo hata CCM ya akina Pascal Mayalla wanaotaka katiba mpya watakuwamo.
Kaleta "maujanja_ujinga" kwa kebehi.Ni haki yake kuburuzwa kikamilifu na si kubagazwa.1. Nikadhani hapa tunapewa changamoto za kuyavutia makundi mengi zaidi kushiriki?
2. Kwani makundi mengi yakishiriki si ni kwa maslahi zaidi?
3. Haya yalikuwa maoni kuntu ya kukumbatiwa kama yaliyomo humu:
Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote
4. Mleta mada (Missile of the Nation) alipaswa kupongezwa, si kubagazwa.
5. Kuyaleta makundi mengi kwa kadri iwezekanavyo ni fursa isiyostahili kubezwa:
View attachment 2872830
5. Alucholeta mleta mada ni maujanja ya nyongeza.
6. Umoja ni nguvu.
Proved, JokaKuu, Economist
CHADEMA na wasakatonge wenzake wanawazaga kupata chansi za kisiasa tu ,walikuwa wapi kwenye DP world, walikuwa wapi kwenye ongezeko la bei ya mafuta,walikuwa kwenye kodi za majengo na miamala ya simu ,walikuwa wapi kwenye ukosefu wa ajira kwa vijana,walikuwa wapi kwenye ruzuku za mbolea ,walikuwa wapi kwenye madai ya pensheni za wazee,Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina interest ya kuifanya katiba mpya kuwa ndiyo KILIO KIKUU cha kuwaingiza watu barabarani, lakini chenyewe kinaweka mbele mambo ya uchaguzi as if uchaguzi ndiyo tatizo kuu.
Hii inatoa taswira gani?, inatoa Taswira kuwa viongozi wa CHADEMA wao kinachowakera zaidi hadi kupata ujasiri wa kutaka kuwaingiza watu mabarabarani ni sheria zinazowakwaza kuingia bungeni au kupata udiwani. Otherwise kama kweli wana uchungu na wananchi kwa ujumla wake kwa nini Maandamano wanayoitisha yasiwe na AJENDA KUU YA MSINGI AMBAYO NI KUDAI KATIBA MPYA?
Uchaguzi wa mwaka 2020 ulipofanyika, Magufuli akawapiga akina Mbowe na kitu kizito kichwani waliwaambia wananchi kuwa kamwe hawawezi kushiriki tena uchaguzi chini ya katiba ya sasa na tume hii ya uchaguzi. Sasa Magufuli hayupo, wanahisi wana chance ya kuingia mjengoni tena kwa hiyo wako tayari kusettle na "minimum" reforms za kuwawezesha kuingia tena mjengoni kula kodi za wananchi!.
Mimi nasema kama CHADEMA wanataka kuandamana kama chama ili watngenezewe sheria watakazozipenda za kuwawezesha kupata hivyo viti vya ubunge na ruzuku iongezeke, basi ni kheri kwao wacha waandamane, LAKINI sisi wananchi tatizo letu KUU na la MSINGI ni KATIBA MPYA!
BILA KUIFANYA KATIBA MPYA KUWA NDIYO AJENDA MAMA ya maandamano basi haya maandamano ni JOKE yaani ni KICHEKESHO na ni muendelezo uleule tu wa wanasiasa kutaka kututumia wananchi kama ngazi ili kufikia malengo yao ya kisiasa ambayo kimsingi siasa ni ajira yao!.
Haitoshi kuchomekea vijmaneno vya hapa na pale kuhusu katiba mpya ili kulainisha mioyo ya watu, tunataka ajenda KUU iwe ni KATIBA MPYA.
Nje ya hapo, Mbowe na Wanachadema wenzako kama mnadhani uchaguzi ndiyo tatizo kuu nchini basi kaandamaneni. lakini nawajulisha tu kuwa Ajenda yenu imekaa kivyama, haijakaa kitaifa na kwa hiyo hata wanaCCM ambao wangewaunga mkono kuandamana kama ajenda yenu kuu ingekuwa ni KATIBA mpya hawataandamana kwa sababu mmeweka mbele mambo ya uchaguzi.
Naunga mkono hoja ila kwa muda uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu, the time is too little too late, kwa mchakato wa katiba mpya, lakini kwa minimum reforms it is possible.Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Mimi nasema kama CHADEMA wanataka kuandamana kama chama ili watngenezewe sheria watakazozipenda za kuwawezesha kupata hivyo viti vya ubunge na ruzuku iongezeke, basi ni kheri kwao wacha waandamane, LAKINI sisi wananchi tatizo letu KUU na la MSINGI ni KATIBA MPYA!
BILA KUIFANYA KATIBA MPYA KUWA NDIYO AJENDA MAMA ya maandamano basi haya maandamano ni JOKE yaani ni KICHEKESHO na ni muendelezo uleule tu wa wanasiasa kutaka kututumia wananchi kama ngazi ili kufikia malengo yao ya kisiasa ambayo kimsingi siasa ni ajira yao!.
Tatizo la watanzania ni kuogopa kuandamana kwa ajenda iliyo nje ya utashi wa ccm/serekali. Kama wananchi wangekuwa wana udhubutu wa kuandamana, basi hoja ya kina Mwabukusi wangeandamana. Kama huamini waambie akina Slaa na Mwabukusi waitishe maandamano ya katiba mpya, na waweke hoja zote hadharani uone kama Kuna atakayejitokeza kuandamana. Acha cdm wapandishe joto tu kwa hizo hoja zao, lakini hakuna wa kuandamana hapa nchini boss.Waende tu wakaandamane, wasitushawishi na sisi kuandamano kwa kitu ambacho siyo tatizo letu kuu!.
Siku wakija na ajenda kuu ambayo ni katiba mpya hapo tutazungumza na tutakuwa tayari kuandamana kwa moyo wote!
Toka mwaka 1992 suala la katiba mpya muda hautoshi. Kisingizio Cha kuwa muda hautoshi wanaweza kukielewa mazombie.Naunga mkono hoja ila kwa muda uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu, the time is too little too late, kwa mchakato wa katiba mpya, lakini kwa minimum reforms it is possible.
P
Naunga mkono hoja ila kwa muda uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu, the time is too little too late, kwa mchakato wa katiba mpya, lakini kwa minimum reforms it is possible.
P
Kaleta "maujanja_ujinga" kwa kebehi.Ni haki yake kuburuzwa kikamilifu na si kubagazwa.
..hivi kwanini Ccm wanaogopa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
..ccm wana utajiri mkubwa wa fedha na watu na sio rahisi kupoteza uchaguzi hata kama kutakuwa na tume huru na katiba mpya.
..again, sielewi kwanini Ccm wanaogopa tume huru na katiba wakati vyama washindani wake bado ni changa mno.
Naunga mkono hoja ila kwa muda uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu, the time is too little too late, kwa mchakato wa katiba mpya, lakini kwa minimum reforms it is possible.
P
Watu wengi ambao wanadai katiba mpya, ukiwauliza changamoto ya katiba ya sasa hawajui hata moja
That's why serikali haina mpango wala uharaka wa kuchange katiba
Kama imeonekana hii katiba ya sasa ina changamoto na zimeelezwa(hata kama na wachache wenye kujua) shida ipo wapi kuleta katiba mpya ambayo sote tutafaidika na hayo mabadiliko ya hiyo katiba mpya?Watu wengi ambao wanadai katiba mpya, ukiwauliza changamoto ya katiba ya sasa hawajui hata moja
That's why serikali haina mpango wala uharaka wa kuchange katiba
Hivi ile UKUTA si watu walitaka kuandama ila Mbowe akaepusha maafa?Tatizo la watanzania ni kuogopa kuandamana kwa ajenda iliyo nje ya utashi wa ccm/serekali. Kama wananchi wangekuwa wana udhubutu wa kuandamana, basi hoja ya kina Mwabukusi wangeandamana. Kama huamini waambie akina Slaa na Mwabukusi waitishe maandamano ya katiba mpya, na waweke hoja zote hadharani uone kama Kuna atakayejitokeza kuandamana. Acha cdm wapandishe joto tu kwa hizo hoja zao, lakini hakuna wa kuandamana hapa nchini boss.
Wewe unajipa madaraka ya kunisemea mimi why?,wewe kama umeona katiba no mbovu why usifanye push back ili upate katiba bora?,uoga wako wa kizuzu ndio unakusumbua na kujifanya ni warrior wa key boards, ingia mitaani ili udai katiba bora, usitegemee watu wengine wakupiganie na acha upumbavu huu
Tutaendelea kiwa na maisha magumu mpaka tupate katiba mpya.Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina interest ya kuifanya katiba mpya kuwa ndiyo KILIO KIKUU cha kuwaingiza watu barabarani, lakini chenyewe kinaweka mbele mambo ya uchaguzi as if uchaguzi ndiyo tatizo kuu.
Hii inatoa taswira gani?, inatoa Taswira kuwa viongozi wa CHADEMA wao kinachowakera zaidi hadi kupata ujasiri wa kutaka kuwaingiza watu mabarabarani ni sheria zinazowakwaza kuingia bungeni au kupata udiwani. Otherwise kama kweli wana uchungu na wananchi kwa ujumla wake kwa nini Maandamano wanayoitisha yasiwe na AJENDA KUU YA MSINGI AMBAYO NI KUDAI KATIBA MPYA?
Uchaguzi wa mwaka 2020 ulipofanyika, Magufuli akawapiga akina Mbowe na kitu kizito kichwani waliwaambia wananchi kuwa kamwe hawawezi kushiriki tena uchaguzi chini ya katiba ya sasa na tume hii ya uchaguzi. Sasa Magufuli hayupo, wanahisi wana chance ya kuingia mjengoni tena kwa hiyo wako tayari kusettle na "minimum" reforms za kuwawezesha kuingia tena mjengoni kula kodi za wananchi!.
Mimi nasema kama CHADEMA wanataka kuandamana kama chama ili watngenezewe sheria watakazozipenda za kuwawezesha kupata hivyo viti vya ubunge na ruzuku iongezeke, basi ni kheri kwao wacha waandamane, LAKINI sisi wananchi tatizo letu KUU na la MSINGI ni KATIBA MPYA!
BILA KUIFANYA KATIBA MPYA KUWA NDIYO AJENDA MAMA ya maandamano basi haya maandamano ni JOKE yaani ni KICHEKESHO na ni muendelezo uleule tu wa wanasiasa kutaka kututumia wananchi kama ngazi ili kufikia malengo yao ya kisiasa ambayo kimsingi siasa ni ajira yao!.
Haitoshi kuchomekea vijmaneno vya hapa na pale kuhusu katiba mpya ili kulainisha mioyo ya watu, tunataka ajenda KUU iwe ni KATIBA MPYA.
Nje ya hapo, Mbowe na Wanachadema wenzako kama mnadhani uchaguzi ndiyo tatizo kuu nchini basi kaandamaneni. lakini nawajulisha tu kuwa Ajenda yenu imekaa kivyama, haijakaa kitaifa na kwa hiyo hata wanaCCM ambao wangewaunga mkono kuandamana kama ajenda yenu kuu ingekuwa ni KATIBA mpya hawataandamana kwa sababu mmeweka mbele mambo ya uchaguzi.
S
Hivi ile UKUTA si watu walitaka kuandama ila Mbowe akaepusha maafa?
Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina interest ya kuifanya katiba mpya kuwa ndiyo KILIO KIKUU cha kuwaingiza watu barabarani, lakini chenyewe kinaweka mbele mambo ya uchaguzi as if uchaguzi ndiyo tatizo kuu.
Hii inatoa taswira gani?, inatoa Taswira kuwa viongozi wa CHADEMA wao kinachowakera zaidi hadi kupata ujasiri wa kutaka kuwaingiza watu mabarabarani ni sheria zinazowakwaza kuingia bungeni au kupata udiwani. Otherwise kama kweli wana uchungu na wananchi kwa ujumla wake kwa nini Maandamano wanayoitisha yasiwe na AJENDA KUU YA MSINGI AMBAYO NI KUDAI KATIBA MPYA?
Uchaguzi wa mwaka 2020 ulipofanyika, Magufuli akawapiga akina Mbowe na kitu kizito kichwani waliwaambia wananchi kuwa kamwe hawawezi kushiriki tena uchaguzi chini ya katiba ya sasa na tume hii ya uchaguzi. Sasa Magufuli hayupo, wanahisi wana chance ya kuingia mjengoni tena kwa hiyo wako tayari kusettle na "minimum" reforms za kuwawezesha kuingia tena mjengoni kula kodi za wananchi!.
Mimi nasema kama CHADEMA wanataka kuandamana kama chama ili watngenezewe sheria watakazozipenda za kuwawezesha kupata hivyo viti vya ubunge na ruzuku iongezeke, basi ni kheri kwao wacha waandamane, LAKINI sisi wananchi tatizo letu KUU na la MSINGI ni KATIBA MPYA!
BILA KUIFANYA KATIBA MPYA KUWA NDIYO AJENDA MAMA ya maandamano basi haya maandamano ni JOKE yaani ni KICHEKESHO na ni muendelezo uleule tu wa wanasiasa kutaka kututumia wananchi kama ngazi ili kufikia malengo yao ya kisiasa ambayo kimsingi siasa ni ajira yao!.
Haitoshi kuchomekea vijmaneno vya hapa na pale kuhusu katiba mpya ili kulainisha mioyo ya watu, tunataka ajenda KUU iwe ni KATIBA MPYA.
Nje ya hapo, Mbowe na Wanachadema wenzako kama mnadhani uchaguzi ndiyo tatizo kuu nchini basi kaandamaneni. lakini nawajulisha tu kuwa Ajenda yenu imekaa kivyama, haijakaa kitaifa na kwa hiyo hata wanaCCM ambao wangewaunga mkono kuandamana kama ajenda yenu kuu ingekuwa ni KATIBA mpya hawataandamana kwa sababu mmeweka mbele mambo ya uchaguzi.
👍👏🆒Naunga mkono hoja ila kwa muda uliobakia kabla ya uchaguzi mkuu, the time is too little too late, kwa mchakato wa katiba mpya, lakini kwa minimum reforms it is possible.
P
Uchaguzi hauwezi kucheleweshwa kwasababu ni kwa mujibu wa katiba, ili uchaguzi uchaguzi ucheleweshwe lazima kufanyika minimum reforms za katiba.Kwani uchaguzi hauwezi kucheleweshwa?
Si lazima uchaguzi ufanyike 2024, hili nimelisema sana humu, Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea? lakini linahitaji minimum reforms.Ni lazima tu ufanyike 2024?
Ndicho nilicho shauri, chaguzi zote zifanywe siku moja na kusimamiwa na Tume moja huru na Shirikishi ya Uchaguzi ila inahitaji minimum reforms za katiba.Kwanini zote zisiende 2025?
Haya tena yanatoka wapi?. What has degree za miaka 3 got to do with this?.Au ni Yale ya degree za miaka 3?