Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unkutana na msg kama hii kwenye sms ya mumeo "mchana kutwa hujanikohoa, hulali tuu.lol", maana yake ni nini kwa kweye kuelewa hio misemo. Advice please

hiyo ni msg imetumwa nite kali (na mume) kwa mtu then mtu akarudisha majibu hayo ikiwa na maana kuwa mchana mzima alimchunia bila kumtumia msg ndio kamtumia msg usiku huo...pole lakini ukweli ndio huo japo unauma....usipende kusoma msg za mwenzio utakufa siku si zako
MmMh! Hivi preta, kwani ww una cheti katika maswala ya udanganyifu naku-du ze nedful katika mambo ya MILA?
Asante dear, maana nilifikiria hivyo pia. Tena basi kinachonifurahisha ni kuwa baada ya kumjibu yangu (kuwa asiwe na wasiwasi msg nimeiona na waeendelee tuu na mambo yao mimi sina noma yoyote...) acha mwan´dada anikurupukie na maneno, ooh, msg ilikuwa inaenda kwengine sio kwa mme wangu, mara sijui mme wangu sio type yake, yeye ni mtu high class, nikitaka kumjua vizuri niulize watu, mara angelikuwa anamtaka nisingekuwa nimekanyaga ulaya...too much rubbish. Nilichomwambia ni Thanks for the information tuu. Nikweli mme wangu anajigonga sana kwa huyu mama (maana ni mzee kweli tumepishana kama 15 years) ili nimuone mkali, siunaelewa tena. Anyway thanks for the advice.hiyo ni msg imetumwa nite kali (na mume) kwa mtu then mtu akarudisha majibu hayo ikiwa na maana kuwa mchana mzima alimchunia bila kumtumia msg ndio kamtumia msg usiku huo...pole lakini ukweli ndio huo japo unauma....usipende kusoma msg za mwenzio utakufa siku si zako
Asante dear, maana nilifikiria hivyo pia. Tena basi kinachonifurahisha ni kuwa baada ya kumjibu yangu (kuwa asiwe na wasiwasi msg nimeiona na waeendelee tuu na mambo yao mimi sina noma yoyote...) acha mwan´dada anikurupukie na maneno, ooh, msg ilikuwa inaenda kwengine sio kwa mme wangu, mara sijui mme wangu sio type yake, yeye ni mtu high class, nikitaka kumjua vizuri niulize watu, mara angelikuwa anamtaka nisingekuwa nimekanyaga ulaya...too much rubbish. Nilichomwambia ni Thanks for the information tuu. Nikweli mme wangu anajigonga sana kwa huyu mama (maana ni mzee kweli tumepishana kama 15 years) ili nimuone mkali, siunaelewa tena. Anyway thanks for the advice.

wasikutishe...hizo ni kelele za chura hana lolote....ukiona mtu anakujibu majibu mengi kwa swali ambalo hujamuuliza ujue kaangukia pua hana chochote
Asante mwaya shosti, kuangukia pua maanake nini tena! unajua mimi hii misemo semo hunipitaga saa nyingine mwaya. Nikweli usemayo maana sikumuuliza maneno debe! kha, ndo nikamwambia mme wangu na hata yeye woa walikuwa hapa wanajuana siku nyingi kwa nini sasa huyu mama shangingi asingemchukuaga na kumuweka ndani. Mume kimya. Nikweli wasinitishe wala wasinibabaishe tena na mauzeee yao inayowasumbua alafu kujidai kupenda ujana. Ntawamwaga mavi wote ndo watakapo jua kweli mimi bado spring chicken. Alafu huyo mama, nilijiuuliza kama yeye kweli ni high class mbona tupo wote tunafyagia mavi ya wazungu huku. Siangeenda kukaanao maofisini wadonyoe wote macompute tumuelewe basi. Kweli shosti ni kelele za chura tuu hizo.
mmh sasa hapo kwenye bold shost umenimix kidogo, sijaelewa ujue..........
Yani am still young ukilinganisha na wao mimi na Mr tumepisha almost 11 years, yani nilikua nasema wasiniletee uzeee wao, ilihali wanajifanya eti kama bado tupo rika moja, ntawafanyia mbaya babake.
ooooh....basi ongea vizuri na mzee mrekebishe hii mambo, coz kama walikuwa wanajuana tokea mwanzo na hakumuoa ni kwamba hakuwa anafaa..
wewe umemfunika mbaya na utakuwa umesimamia kucha
Asante dear, maana nilifikiria hivyo pia. Tena basi kinachonifurahisha ni kuwa baada ya kumjibu yangu (kuwa asiwe na wasiwasi msg nimeiona na waeendelee tuu na mambo yao mimi sina noma yoyote...) acha mwan´dada anikurupukie na maneno, ooh, msg ilikuwa inaenda kwengine sio kwa mme wangu, mara sijui mme wangu sio type yake, yeye ni mtu high class, nikitaka kumjua vizuri niulize watu, mara angelikuwa anamtaka nisingekuwa nimekanyaga ulaya...too much rubbish. Nilichomwambia ni Thanks for the information tuu. Nikweli mme wangu anajigonga sana kwa huyu mama (maana ni mzee kweli tumepishana kama 15 years) ili nimuone mkali, siunaelewa tena. Anyway thanks for the advice.
Hata kama mimi ningekuwa mme wako, ninge-cheat!.:rolleyez:Nilishamwambia Mr, akajidai naye kusema hivyo pia kuwa kama angekuwa anamhitaji angemuo...swali sasa mbona bado mawasiliano kama hayo yaendelee bayana yao. Ooh, sijui eti hilo limama lina mume wake sema anamuombaga Mr. amsaidie na kutafsiri lugha...hell! no nkamuuliza kawanini asitafute mwanamke awe mtafsiri wake! kukawa hamna jibu. Nikweli dear, kama hawakuonana hapo awali kuwa wanashabiana basi wameula wa pumba...tena ni kweli dadangu mimi ndo niliye simamia ukucha!kha wewe Pretty ama kweli unamaneno dear wangu. Watu kama nyinyi yani ndo mnaofaa humu jukwaani kwa kweli. Prettyyyy oooooeeeeeehhhhhhh :target:fagilia wawawaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh. lol! umeniache hoi na raha tele mama.
kwenye blue kunaonyesha jinsi unavyomboa mumeo mpaka anaamua kwenda kupumzisha mawazo baada ya hiyo kazi yenu hapo kwenye redAsante mwaya shosti, kuangukia pua maanake nini tena! unajua mimi hii misemo semo hunipitaga saa nyingine mwaya. Nikweli usemayo maana sikumuuliza maneno debe! kha, ndo nikamwambia mme wangu na hata yeye woa walikuwa hapa wanajuana siku nyingi kwa nini sasa huyu mama shangingi asingemchukuaga na kumuweka ndani. Mume kimya. Nikweli wasinitishe wala wasinibabaishe tena na mauzeee yao inayowasumbua alafu kujidai kupenda ujana. Ntawamwaga mavi wote ndo watakapo jua kweli mimi bado spring chicken. Alafu huyo mama, nilijiuuliza kama yeye kweli ni high class mbona tupo wote tunafyagia mavi ya wazungu huku. Siangeenda kukaanao maofisini wadonyoe wote macompute tumuelewe basi. Kweli shosti ni kelele za chura tuu hizo.