Mkuu kwan jiko la mkaa huna?.mkaa wa buku upo bandani kama kawaNo comment nimeamka na stress ming sana wife ananiamsha najua labda ameshinda biko au tatu mzuka
Eti oooh gas imeisha na ukiangalia mfukoni Nina 7200
Nataman niende hata kazin nikapitezee huko muda japo nipo likizo
Na nyinyi tena mnaniletea story ya bao moja Mara na huyu sijui anataja kunvunja miguu mkewee aaarh
Sasa 3 pack ndo bao 1..???Inategemeana nyengine ni 3 pack,6pack etc
Mkuu mbona maswali yako kama hujanywa chai bwana.wanapokuuzia hawajali wala kukuuliza kama unakwenda kupiga bao moko au manne wao wanakuuzia pack nzima.