Maandalizi ya bao 1

Maandalizi ya bao 1

No comment nimeamka na stress ming sana wife ananiamsha najua labda ameshinda biko au tatu mzuka
Eti oooh gas imeisha na ukiangalia mfukoni Nina 7200
Nataman niende hata kazin nikapitezee huko muda japo nipo likizo
Na nyinyi tena mnaniletea story ya bao moja Mara na huyu sijui anataja kunvunja miguu mkewee aaarh
Mkuu kwan jiko la mkaa huna?.mkaa wa buku upo bandani kama kawa
 
utakuwa unatatizo wewe, wenzio hata kwa dala dala kitu out
 
leo kuna mambo, bajeti za wanawake sijaziona au wao hawagharamii? nisaidieni kuwaita mnaowajua
 
Back
Top Bottom