Dona na maharage vyote ni vitu vizito hukawii kushiba.
Mkuu dona na maharage ninaweaka maharage kidogo sana, kwangu mimi ni top kwa top hata maharage na chapati.Dona sawa inashibisha, maharage nakataa..
Shule kipindi hicho maharage tulikuwa tunakula hadi tunachoka kutafuna lkn tulikuwa hatuvimbiwi.
Sema sasa huko darasani ni vijambo tu mchana :
Kwa Morani wote
Mambo ya mlenda
Mambo ya mlenda
Bomba sana mkuuView attachment 568723 Huo wa Bamia.
View attachment 568730 Huu wa kusaga.
Na upo mwingine wa majani flani ukiyapika yanateleza, yanakuwa mlenda.
Sipend flaat screen though sipend mitako mikubwa sana or mi hip ,i like slim women ila awe sexy,periodAfadhali wenye flat screens tutatambulika
Lakini si ina kijungu kidogo[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Afadhali wenye flat screens tutatambulika
Mwenzake [emoji116]
Hapa sawa[emoji115] [emoji116]
Chapati mm nazipenda kuliko kawaidaMwenzake [emoji116]
Na chai ya maziwa kwa jioni ni vizuri zaidi.
nafight with my weather[emoji23][emoji23]