SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Dona na maharage vyote ni vitu vizito hukawii kushiba.
Dona sawa inashibisha, maharage nakataa..
Shule kipindi hicho maharage tulikuwa tunakula hadi tunachoka kutafuna lkn tulikuwa hatuvimbiwi.
Sema sasa huko darasani ni vijambo tu mchana :