Maandalizi ya chakula cha jioni

Maandalizi ya chakula cha jioni

Dona na maharage vyote ni vitu vizito hukawii kushiba.

Dona sawa inashibisha, maharage nakataa..
Shule kipindi hicho maharage tulikuwa tunakula hadi tunachoka kutafuna lkn tulikuwa hatuvimbiwi.
Sema sasa huko darasani ni vijambo tu mchana :
 
nyama-choma.jpg

Kwa Morani wote
 
Dona sawa inashibisha, maharage nakataa..
Shule kipindi hicho maharage tulikuwa tunakula hadi tunachoka kutafuna lkn tulikuwa hatuvimbiwi.
Sema sasa huko darasani ni vijambo tu mchana :
Mkuu dona na maharage ninaweaka maharage kidogo sana, kwangu mimi ni top kwa top hata maharage na chapati.
 
Afadhali wenye flat screens tutatambulika
Lakini si ina kijungu kidogo[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom