Maandalizi ya chakula cha jioni

Hamna mboga imenishinda kula kama hii.nahisi ukosefu wa mboga ndiyo unafanya watu kula mlenda. Sidhani kama unanutrition zozote.
Bamia ni mboga yenye virutubisho sana mwilini bamia lina uwezo wa kupunguza cholesterol mwilini, linaweza kukulinda kwa aina za cancer, linazuia matatizo ya kufunga choo na kusaidia kama unamatatizo hayo
 
Kuna ule hawaweki bamia. Wanachukua majani ya polini. On other note, kuna mahali nilisoma kuwa majani ya nyanya chungu yanaliwa na yanavirutubisho kuliko matunda tunayokulaga. Lakini walisema si jamii zote za nyanya chungu majani yake huliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…