Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Nikajua ni kile chakula cha usiku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua ni kile chakula cha usiku!
Mkuu ile ni tunu ya Taifa hata wewe unakipenda ila simwambii mtu!Unakipenda eehh
Hamna mboga imenishinda kula kama hii.nahisi ukosefu wa mboga ndiyo unafanya watu kula mlenda. Sidhani kama unanutrition zozote.View attachment 568723 Huo wa Bamia.
View attachment 568730 Huu wa kusaga.
Na upo mwingine wa majani flani ukiyapika yanateleza, yanakuwa mlenda.
Bamia ni mboga yenye virutubisho sana mwilini bamia lina uwezo wa kupunguza cholesterol mwilini, linaweza kukulinda kwa aina za cancer, linazuia matatizo ya kufunga choo na kusaidia kama unamatatizo hayoHamna mboga imenishinda kula kama hii.nahisi ukosefu wa mboga ndiyo unafanya watu kula mlenda. Sidhani kama unanutrition zozote.
Kuna ule hawaweki bamia. Wanachukua majani ya polini. On other note, kuna mahali nilisoma kuwa majani ya nyanya chungu yanaliwa na yanavirutubisho kuliko matunda tunayokulaga. Lakini walisema si jamii zote za nyanya chungu majani yake huliwa.Bamia ni mboga yenye virutubisho sana mwilini bamia lina uwezo wa kupunguza cholesterol mwilini, linaweza kukulinda kwa aina za cancer, linazuia matatizo ya kufunga choo na kusaidia kama unamatatizo hayo