amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Acha utoto. HayakuhusuMwabukusi vipi;?
au atakuwa anatokea jela kuendesha kesi. Bongo kuna vitimbi vingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utoto. HayakuhusuMwabukusi vipi;?
au atakuwa anatokea jela kuendesha kesi. Bongo kuna vitimbi vingi
Safari hii hakuna namba ya kuchangia harambee?Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima , ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD...
Matko yako rediuceAcha utoto. Hayakuhusu
Michango hata wakati wa kupigania uhuru ilikuwepoSafari hii hakuna namba ya kuchangia harambee.?
Ok, namba ya kuchangia plz...Michango hata wakati wa kupigania uhuru ilikuwepo
Usiondoke JFOk, namba ya kuchangia plz...
Hakuna kitu maandamano yamefanyika kama yalivyopangwaHaya
Kwa sasa nashuhudia Prof Kindiki anavyoituliza Nairobi kwa Mtutu wa Bunduki [emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Maandamano au Vurugu?Hakuna kitu maandamano yamefanyika kama yalivyopangwa
Tena yamefana sanaHakuna kitu maandamano yamefanyika kama yalivyopangwa
Nafuatilia Kwa makini sana kesi hii.
WhateverMaandamano au Vurugu?
Kwani kesi ni siri?Kwa nini kuwe na gari za kokodisha?Na ni nani yupo nyuma ya gharama za kokodi hizo gari?Tafakari uchukuwe hatua.