Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Maandalizi ya Kesi ya Wazalendo dhidi ya Mkataba wa Bandari na DP WORLD yakamilika, Maelfu ya Wananchi wajipanga kuhudhuria

Ile kesi inayosubiriwa kwa hamu na Dunia nzima , ambayo imefunguliwa na Watanzania Wazalendo , ya kupinga Mkataba mbovu wa kukodisha Bandari za Tanganyika kwa Waarabu wa DP WORLD...
Safari hii hakuna namba ya kuchangia harambee?
 
Safi sana wazalendo.ikiwezekana tuwachangie chochote maana wameonesha uzalendo wa hali ya juu kupinga huu upuuzi wa kuuza maliasili
 
Back
Top Bottom