Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kila la kheri.Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
AmenKila la kheri.
"No reforms.No Election :
Wala hatujawahi kukinukisha Mahakamani tangu dhuluma zianze, tunakokinukisha unakujuaHatukuwaona mahakamani jana kukinukisha!
๐๐๐๐ I love youWala hatujawahi kukinukisha Mahakamani tangu dhuluma zianze, tunakokinukisha unakujua
Mimi ni Taasisi ya Kimataifa, unaweza kunikamata mimi lakini huwezi kukamata hii ID, Sijui kama unaelewa?Wenzako kila siku wanakamatwa ila wewe hujawahi kukanyaga hata lockup ya polisi au wewe ndo unawauza?
Acha mbwembwe wewe mbinu unayotumia hadi hujawahi kuingia kituo cha polisi kama wenzako ni hiiMimi ni Taasisi ya Kimataifa, unaweza kunikamata mimi lakini huwezi kukamata hii ID, Sijui kama unaelewa?
Kazi iko pale pale๐๐๐๐Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Yes Reform Yes ElectionNo reform No election
Naona Tone Tone Imenunua chuma za kutosha๐๐๐Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
HaikuhusuAcha mbwembwe wewe mbinu unayotumia hadi hujawahi kuingia kituo cha polisi kama wenzako ni hii
View attachment 3319913