mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
No reforms no election !!hadi maCCM yakubali mabadiliko!!👿Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861