Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Anaandaa tone toneAnawaambia wenzake waandamane Huku yeye anakuna mbupu tuu geto kwake 😂
Anaandaa tone toneAnawaambia wenzake waandamane Huku yeye anakuna mbupu tuu geto kwake 😂
Chadema wana akili sana 🔥Anaandaa tone tone
Safi sana hakuna kupoa.Amen
Oya WEWE NI adrizHatukuwaona mahakamani jana kukinukisha!
Erythrocyte usikubali. Hili NI dume Tena NI adriz.😃😃😙😙 I love you
Usihofu, huwa sihangaiki na WajingaErythrocyte usikubali. Hili NI dume Tena NI adriz.
Tumalizane mkuu 'Fundi', Mbowe aliuvuruga mwenyewe uzalendo huo na heshima kubwa sana aliyokuwa nayo alipo kubali kuwa wakala wa Samia.Kama mpaka leo una wasiwasi na uzalendo wa Freeman Aikaeli Mbowe, basi hata akifanya nini hautampa hiyo heshima unayozungumzia.
Unafura?utapasuka mshhonno tenaAcha mbwembwe wewe mbinu unayotumia hadi hujawahi kuingia kituo cha polisi kama wenzako ni hii
View attachment 3319913
SahihiHizi gari ni matunda ya Mbowe kabla chama hakijaongozwa na muhaini
Mlimtukana sana. Mlimvunjia na mnaendelea kumvunjia heshima. Na kila mkifanya hivyo ndio wengine tunavyozidi kumheshimu. Kwa unafik wenu mnajifanya kuwa bado anahitajika katika mpambano wenu. Hamjawahi kumheshimu na hata huyo wa sasa hamtasita kumchafua siku yake ikifika. Ndio hulka yenu.Tumalizane mkuu 'Fundi', Mbowe aliuvuruga mwenyewe uzalendo huo na heshima kubwa sana aliyokuwa nayo alipo kubali kuwa wakala wa Samia.
Hakuna yeyote aliye mwondolea hiyo sifa ya uzalendo. Alijiondolea mwenyewe.
Hili nalo nimemalizana nalo.
Majambazi wa mama ndiyo wasiokuwa na adabu kuja kuvuruga mikutano yetuNa mfanye kwa adabu na heshima mikutano yenu.
Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kupiga kura .Manati safi zimeshatengenezwashChama ambacho kimekataa kushiriki uchaguzi lakini kinajinasibu kushika dola.
Chuma mpya izi au macho yanguTaarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Chama ambacho kinajisibu kufanya makubwa ,ila kinaogopa reformsChama ambacho kimekataa kushiriki uchaguzi lakini kinajinasibu kushika dola.
Nani uyo ,au wazungumzia mwenda kuzimu?Mlimtukana sana. Mlimvunjia na mnaendelea kumvunjia heshima. Na kila mkifanya hivyo ndio wengine tunavyozidi kumheshimu. Kwa unafik wenu mnajifanya kuwa bado anahitajika katika mpambano wenu. Hamjawahi kumheshimu na hata huyo wa sasa hamtasita kumchafua siku yake ikifika. Ndio hulka yenu.
Mchango wa Mbowe hautaondolewa na keyboard warriors kama sisi.
Amandla...