No reforms no election !!hadi maCCM yakubali mabadiliko!!👿Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Una uchungu sana na jamaa ni mumeo nini?Haikuhusu
Kama atakuwa ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, tendo hilo litampa heshima kubwa kabisa.MJUMBE,wa kamati kuu FAM ,kikosi kazi kipya kitakachotangazwa kesho ,mwambie mie kama wadau tunaomba ajoin thecampen
Chama ambacho kimekataa kushiriki uchaguzi lakini kinajinasibu kushika dola.Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Hizi gari ni matunda ya Mbowe kabla chama hakijaongozwa na muhainiTaarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
mkuu ,itapendeza sana aje aisambaratishe ccm kabisa ,mana mikutano itakuwa na hamasa mnoKama atakuwa ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, tendo hilo litampa heshima kubwa kabisa.
Arudi akiwa hana makandokando mengine ya aina yoyote ile. Hii itakuwa fursa nzuri sana kwake kujiondoa kwenye kona chafu.
Asahau yaliyopita, agange kikwelikweli yajayo.
Nilitaka kumwanzishia mada ya namna hii hii humu.
Watu wakimwona na kumwamini kuwa asemayo na ayatendayo yanatoka moyoni kwa dhati kabisa, kwa manufaa ya watu wote wa taifa hili; ninakubaliana na wewe kabisa kwamba CHADEMA itakuwa imepiga hatua kubwa sana.mkuu ,itapendeza sana aje aisambaratishe ccm kabisa ,mana mikutano itakuwa na hamasa mno
Na mfanye kwa adabu na heshima mikutano yenu.Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Huwa tunawaheshimu mno wananchi, fuatilia kama tuliwahi kufanya fujoNa mfanye kwa adabu na heshima mikutano yenu.
Tone tone itakuwepo!Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika.
Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
View attachment 3319860View attachment 3319861
Wanaonunua bei Gani?Wenzako kila siku wanakamatwa ila wewe hujawahi kukanyaga hata lockup ya polisi au wewe ndo unawauza?
We ndio John Mnyika!Hizi gari ni matunda ya Mbowe kabla chama hakijaongozwa na muhaini
Wenzako kila siku wanakamatwa ila wewe hujawahi kukanyaga hata lockup ya polisi au wewe ndo unawauza?
Tone tone,!Fact.
Unaakili mingi Sana ....
Kwa wewe mwenye njaa ukipewa hata sahani ya wali maharage unasaliti harakatiWanaonunua bei Gani?
Kweli umepinda!Mabomu ya mbagala!Kwa wewe mwenye njaa ukipewa hata sahani ya wali maharage unasaliti harakati
Kama mpaka leo una wasiwasi na uzalendo wa Freeman Aikaeli Mbowe, basi hata akifanya nini hautampa hiyo heshima unayozungumzia.Kama atakuwa ni mzalendo wa kweli wa nchi hii, tendo hilo litampa heshima kubwa kabisa.
Arudi akiwa hana makandokando mengine ya aina yoyote ile. Hii itakuwa fursa nzuri sana kwake kujiondoa kwenye kona chafu.
Asahau yaliyopita, agange kikwelikweli yajayo.
Nilitaka kumwanzishia mada ya namna hii hii humu.
Huwa wanapika wali Maharage huko?!!Kweli umepinda!Mabomu ya mbagala!
Anawaambia wenzake waandamane Huku yeye anakuna mbupu tuu geto kwake 😂Acha mbwembwe wewe mbinu unayotumia hadi hujawahi kuingia kituo cha polisi kama wenzako ni hii
View attachment 3319913