PreGE2025 Maandalizi ya Mikutano ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika, Moto Utawaka muda wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usinipe maneno ambayo sijayaandika. Soma na uelewe vizuri nilichoandika kumhusu yeye akitaka kurudisha heshima yake aliyokuwa nayo mwanzo. Sijasema popote kuwa "bado anahitajika". Huyo kibaraka wa Samia akirudi katika hali hiyo ni kuimaliza CHADEMA moja kwa moja.

Mbowe kabla ya kuwekwa mfukoni mwa Samia usimfananishe na huyo aliyejivunjia heshima zote kwa kurubuniwa na mtu ambaye uwezo wake ni mdogo sana. Kadanganywa kuwa nusu mkate za Kenya zitatumika hapa; naye kajisahau kabisa. Kajidhalilisha sana Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…