Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
919
Reaction score
517
Fuatilia Live Updates HAPA


Kweli UKAWA noma, wanafunga spika mtu akiwa Mlandizi aisikie sauti ya Kamanda.

1440741498066.jpg1440741483323.jpg1440741468116.jpg1440741450420.jpg
mambo yanazidi kunoga


Jukwaa--620x309.jpg

07:00am

attachment.php
 
Eti CCM nao kesho wana Live yao huko Mbeya Star tv, yaan baada ya kuona chadema /UKAWA wana Live na wao wanaandaa yao sasa sijui nani ataangalia Live yao hiyo!!

Hata kesho JK. na Mkapa watakuwa busy na Jangwani ili kujihakikishia macho yao kama nyomi ya watu ni man-made au natural.
 
DSM na viunga vyake watu wamejawa na mabashasha wananchi wakiwa wanafanya maandalizi ya kesho
 
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa

Mkuu hata huku kitaa wanaeneza propaganda za kijinga sana kama hii yako

Kuna moja nimeisikia leo. Eti tumsaidie kikwete mwislamu mwenzetu chama chake kisimfie mkononi maana itakuwa aibu kwetu sisi waislamu

Nikawauliza kwani kikwete alikuwa khadi au shehe wa msikiti?
Wakaanza kunishambulia ikabidi niondoke.zangu

Hiyo comment yako wala sishangai kabisa
 
Lumumba tumbo joto. Linawasokota na kupishana msalani. Kesho ndio kesho yule asemae picha za kutengeneza ebu ajaribu Ata kujitoa ufahamu wapepese macho jangwa kesho washuhudie gharika la ukawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom