Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Hayo maandalizi yatakuwa "photoshop"! Ukiwa CCM ni laana!
 
kati ya mwaka wa maajabu huu ni noma!wanaopambana ccm na cdm wote ni ni zao ccm du!
 
Police watinnga jangwani kuzuia ujenzi wa jukwaa muda huu
 

Attachments

  • 1440756523192.jpg
    1440756523192.jpg
    36.4 KB · Views: 1,583
Police wametangaza vita ukawa vs police ccm

Kwanini kova asivae tu gwanda?
 
Mbona ujenzi unaendelea...kibali cha ujenzi ni minor issue labda kingekuwa kibali cha uwanja.
 
Tumebakisha mapandikizi ccm ndio hao wanawachanga ccm ndani kwa ndani ili waonekane ccm wabaya.

swissme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom