Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
picture hizo hapo
 

Attachments

  • 1440688254847.jpg
    1440688254847.jpg
    34.5 KB · Views: 5,176
Muwe hapa namba zao maaskari hao tu google vyeti vyao NECTA
 
Yaani, wanakibali cha kufanya mkutano Jangwani ila hawana kibali cha jukwaa hapo hapo Jangwani!


Hahaha Tanzania bwana!

Ukiwa na kiwanja chenye hati haina maana kuwa una kibali cha ujenzi!! Uwanja wa jangwani wana kibali tayari.Lakini kibali cha ujenzi lazima wawe nacho ili kujenga chochote hapo.Ndio utawala wa sheria zikifuatwa mnang`aka zisipofuatwa mnang`aka hamueleweki.Sheria inataka uwe na kibali cha ujenzi.Hilo jengo likija poromokea watu mtasumbua serikali kuwa haikusimamia sheria za ujenzi.

Katafuteni kibali
 
haya masisiemu yakoje yemeshashindwa hata kabla hatujaanza kampeni
 
lizabon ashakaa bado ww

Nyie hamnipi taaabu kabisa, Katibu wenu mmemkarisha kitako, nyie mkijambishwa kidogo mnaanza tafuta kuonewa huruma na wakati huu tunawakazia kweli mpate na hasara ili baada ya uchaguzi ndio mpotee kabisa. Tunawaandalia harusi yenu andaeni vigeregere vya kutosha
 
Ukawa ukawa ukawa kesho yule lofa mfupi mnene mwenye kichwa kikubwa ndiyo atajua malofa wa kweli ni wapi hahahahahahaha.
 
hivi hata yale majukwaa ya fiesta hua yanakua assembed na engeneers au
 
Kibali cha ujenzi hadi wizara ya ujenzi ili kuhakiki structural integrity ya jukwaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom