Kweli UKAWA noma, wanafunga spika mtu akiwa Mlandizi aisikie sauti ya Kamanda.
Mambo mengine ukiambiwa unaweza kudhani ni ndoto, hawa polis wajiandae kisaikolojia wamemuudhi hata mke wangu ambae ni kiongozi CCM ameamua kuachia vyeo vyake vyote na kadi kachoma , kasema anawasubiri CCM 25/10 Awape adabu uonevu wamezidisha .kwi kwi kwi kwiiiiii polc magamba, kwa akili za kova ukute anafkiria kwenda
Ukiwa na kiwanja chenye hati haina maana kuwa una kibali cha ujenzi!! Uwanja wa jangwani wana kibali tayari.Lakini kibali cha ujenzi lazima wawe nacho ili kujenga chochote hapo.Ndio utawala wa sheria zikifuatwa mnang`aka zisipofuatwa mnang`aka hamueleweki.Sheria inataka uwe na kibali cha ujenzi.Hilo jengo likija poromokea watu mtasumbua serikali kuwa haikusimamia sheria za ujenzi.
Katafuteni kibali
nchi ina utaratibu......na sheria zifwatwe
Ni kweli mizingwe ikizidi wananchi hupiga kura za Huruma na hivi Visa vya ccm sasa vinaorozeshwa vyote vya ICC The Hague ili iwe rahisi kuwashitaki .Mi nadhani kuendelea kuwekea vikwazo vya hapa na pale upinzani na hasa ukawa tunawapa umaarufu bila sbb. Wangewaacha tu waendelee na mambo yao. Watu wanaweza kutengeneza huruma na kujikuta Ukawa unazoa kura. Nakumbuka huruma ndiyo ilmsaidia Zuma
Walioko jangwani nini kinaendelea xaiv?
Jiheshimu basi kidogo kwa nini unamtukana mwenzio namna hiyo ?.Jenga hoja na jitahidi kuwajibu watu kwa hoja ,matusi hayajengi yanabomoa usiwe kama Mzee Mkapa bana.!!!.