Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Nyie hamnipi taaabu kabisa, Katibu wenu mmemkarisha kitako, nyie mkijambishwa kidogo mnaanza tafuta kuonewa huruma na wakati huu tunawakazia kweli mpate na hasara ili baada ya uchaguzi ndio mpotee kabisa. Tunawaandalia harusi yenu andaeni vigeregere vya kutosha

Hasara mtakayoipatata ninyi haitazidi ya Chadema,
Hv unajua gharama za kumu accommodate Rais awapo mikoan wewe,Muulize Jk kwa nin anapiga kampen na ni Tsh ngapi kwa siku
 
Kuna watu hapo wanajenga magorofa na hawana vibali, kwan hiyo ni kazi ya police jaman jaman nchi mnaipereka wapi???

Majukwaa ya matamasha huwa yanapewa vibali kujengwa? Hivi Visa vya ccm dawa yao pekee ni ICC tu.
 
uzuri ni kwamba CCM wote sasa hivi ni fans wa Chadema.
Watafatilia tu mkuu wala usijali.
Nia yao ni kuangalia makosa na sio kusikiliza sera.
Wakipata picha halisi ya kesho watasema UKAWA wame edit picha.
 
Eti CCM nao kesho wana Live yao huko Mbeya Star tv, yaan baada ya kuona chadema /UKAWA wana Live na wao wanaandaa yao sasa sijui nani ataangalia Live yao hiyo!!

Hata kesho JK. na Mkapa watakuwa busy na Jangwani ili kujihakikishia macho yao kama nyomi ya watu ni man-made au natural.

mbeya atakuwa nani, nasikiaa magufuri atakuwa njmbe jmosi.
hatakama watakuwa live hatuwezi waangaliaaaa
 
Daaaaah..
Nimeishiwa maneno
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili
ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 ,

hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao
kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned.
Aluta Continua...
attachment.php
 
UKAWA hebu achaneni na hao mapoliccm. Si mnayo yale magari ya majukwaa? CUF na Chadema mnayo kama yale mnayotumia huko vijijini. Tumieni hayo, yanatosha kabisa!!!!!!!!!!

Kwanza kitendo cha Policcm cha leo kimeongeza maradufu ufuasi wa UKAWA. Asante Policcm!
 
Nyie hamnipi taaabu kabisa, Katibu wenu mmemkarisha kitako, nyie mkijambishwa kidogo mnaanza tafuta kuonewa huruma na wakati huu tunawakazia kweli mpate na hasara ili baada ya uchaguzi ndio mpotee kabisa. Tunawaandalia harusi yenu andaeni vigeregere vya kutosha

wewe unafanyaje huku?unaacha uzi wa magufuli unadoda kule,watakunyima posho ya leo dogo
 
Dah kweli kilio cha mwombolezaji hakina tuni maalum ya sauti aisee peeeeepoz
 
Si wawape kibali tu, watajuaje kama hao ni ukawa au ukiwa?
 
Taratibu LAZIMA zifuatwe, watu waache kufanya mambo kienyeji, wakiambiwa kibali cha chopper wanalalamika! Hii nchi ina sheria wajameni, eeh!
 
Duu, mkoloni kumshinda ni kazi sana. Lakini ukombozi utapatikana tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom