Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
Lowasa hawezi kuhutubia kilofa na kwa ghiriba pia kipumbavu kama Padri aliyeushindwa Upadri Magufuli.Lowasa lazima ateme madini sio mbwembwe.Ataonyesha dira wapi Tanzania inabidi iwe