CCM wane jidhihirisha kuwa ni Chama muflisi iliyozaa serikali muflisi na inayoendeshwa na watendaji muflisi. Ukija kwenye jeshi la Polisi huko ndio watendaji wamekosa umakini na umakini (un professionalism) wamebakia kutumika kama karai ambalo inapofika siku ya ufunguzi wa jengo au nyumba mpya limekuwa hata halithamniwi wala kutakiwa hata kuonekana kwenye yadi.