Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Naskia kuna askari wameenda kuwasimamisha wakidai kibali cha kujenga jukwaa
 
mbona nasikia PoliCCM wamezuia ujenzi wa jukwaa eti wanataka kibali cha ujenzi wa jukwaa. Ni tetesi tu sina uhakika
 
Polisi wamekuja na defender yao wanataka kibali kwanza ndio ujenzi uendelee
 
I hope BIG SCREEN will be every where around Tz

Wazo zuri sana hilo mkuu Mwiba. Uongozi wa Ukawa ulifikirie hilo sio kwa sehemu nyingine za Tanzania pekee bali hata hapo Dar penyewe kwa vile wana kibali cha kampeni wilaya zote basi wafanye kama World cup sceen kubwa ziwekwe maeneo mbalimbali ya jiji ili kwa wale ambao kwa sababu moja au nyingine waangalie huko waliko. Raha ya jambo mukiangalie mkiwa wengi, haya mambo ya kutazama nyumbani peke yako kwenye TV hayana raha.
Ndio maana haya mpira tunatoka majumbani na kuacha TV kwenda kujumuika na wengine pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Wadau mliopo dar muhakikishe mnakesha hapo uwanjani maana MA. Ccm yanaweza kuwanga hapo

Hasa huyu jamaa asionekane katika umbali chini ya mita 1000 toka eneo hilo.
 
Mkutano kesho, maandalizi mapema hivi!! Ccm watakima maana UKAWA hawanunui watu. Mr Presda anatajiwa aangalie live ili ajue sio picha za kutengeneza

hivi leo kiswahili kwenu tatizo eeeh!
 
Wamebanaweeeeeeeeeeeeeeeee mwishowe wameachia, hakuna jinsi nyingine itabidi watukabidhi madaraka tu hapo octoba
 
Niko njiani natokea Mkoani kuja kwenye Mkutano na nitakesha hapo jangwani leo
 
mbona nasikia PoliCCM wamezuia ujenzi wa jukwaa eti wanataka kibali cha ujenzi wa jukwaa. Ni tetesi tu sina uhakika

Jukwaa linatakiwa lijengwe na mainjinia.Watu wakija dondoka hapo mtalaumu nani?
 
Mbona nasikia jamaa wa PT wameshafika hapo na wanataka wapatiwe kibali cha kujenga jukwaa otherwise wamezuia,hii imenifanya nicheke kidogo,POLICCM wako kichama zaidi na ndo maana wakikurupushwa na wale wanaovamia vituo vya polisi wanauwawa kama njugu,maana wako kisiasa zaidi kuliko kiprofession
 
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili
ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 ,

hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao
kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned.
Aluta Continua...


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…