Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Dah mimi kama kada wa chama cha mapinduzi nimekata tamaa sana,UKAWA wanakubalika licha ya jitihada za Viongozi kupunguza nguvu zao,naona kabisa pamoja na nguvu inayotumika kuwahadaa wananchi,inaonekana uelewa umeongezeka.Come what may!
 
CHADEMA/UKAWA hakika ni fimbo ya Mussa!!! Lumumba wanaweweseka

VIVA CHADEMA,VIVA UKAWAAAAA
 
Rip magamba. Tunataka tz mpya sio ya maagizo kutoka juu ya police.
 

Propaganda machinery ya CCM ndio imepenyeza picha hizi kusudi kuchafua hadhi ya UKAWA. Primitive kabisa.
 
Unapotumia Picha za Fiesta Kutuaminisha ni sawa na kuishusha Hadhi Chadema pamoja na Ukawa. kwanini msumbuke wakati october bado?
 
Makamanda naona hii mvua neema leo hapa jangwani.
 

Siamini Kama hata wewe umekuwa kipofu au unajua lakini unaudhihirisha urofa wako mkuu? Picha za Serengeti fiesta kugeuka walinda viwanja vya Jangwani
 
Daah. Kwetu malofa na wapumbavu wa kagera umeme umechukuliwa toka saa 11 alfajiri.Werevu wameshachukua umeme wao.Sijui werevu wenzao kama wamewagawia generator au wans uhakika nao kwamba kila mmoja ana solar panel.
 
Namshukuru Mungu aliye juu kwa kuniamsha salama na mzima wa afya.
Nipo najiandaa kuelekea Jangwani kuungana na wana mabadiliko wenzangu.
Mungu atujaalie mkutano wenye amani, atuepushie na fitna/vurugu na hujuma zozote kutoka kwa maCCM.
Nategemea kusikia ilani na sera zitakazorudisha matumaini ya Watanzania waliokwisha kukata tamaa kutokana na umasikini uliosababishwa kwa kiasi kikubwa na wanyang'anyi CCM.
Wakati wao wamenadi matusi na kejeli wiki iliyopita sitegemei hali kama hiyo kutoka kwa viongozi makini wa UKAWA.
#TukutaneJangwani
 
Nimeusikiliza huu wimbo nimeamini kuwa Mheshimiwa Rais wa awamu ya tano Edward Ngoyae Lowasa ni kipenzi cha watu.Wimbo umeandikwa na kuimbwa vizuri kabisa sio kama zile za mipasho kutoka CCM,huu ni ubunifu mpya kabisa.Mpenda mabadiliko unaweza kuusikiliza hapa na utaniambia mwenyewe uzuri wake..

Link LOWASA CHAGUO LETU MP3
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…