Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Kikwete akiwaambia mnaunganisha picha huwa mnakataaga sasa na hapo mmeanza uongo.wa wazi wazi hiyo si shoo ya fiesta

Nenda shuhudia leo na kikwete wako.

Nendeni na private # hatutaki kuwaona piteni kimya kimya
 
Hapa najiuliza hivi watu wa Dar es salaam ambao maisha hayaendi bila kufanya kazi usiku na mchana kutwa ndio wameacha kazi zao na kuja kukesha jangwani? Au Yale magari yameanza kufika kutoka mikoani Leo lkn kwann wasinge watengenezea malazi Mimi nawaza tu

Endelea kuwaza ni haki yako
 
Pamoja na hila zote leo tuna bainisha rais wa Tanzania ni lowassa kama utaki hama nchi
 
Mtake msitake LOWASSA ndiyo Rais wa awamu ya tano. Mumlaumu Mwenyekiti wenu wa Chama yeye ndiye chanzo cha kuanguka kwa CCM. Ameshindwa sana na watu sasa hivi ni maskini wa kutupwa.
 
Tuliopo mikoani ccm tayari wametukatia umeme, tutajongea kwenye nabanda ya jenereta kushuhudia makuu ya Mungu
 
Kweli nchi imeiva tuko tayari kwa mabadiliko ahsante chadema ahsante ukawa kwakutoa elim ya uraia watu wameelewa sasa nchi yenu
 
Unaota?

_MG_6946.jpg

Hutaki? Ndio hivyo sasa sauti imeshagoma sasa. Mgonjwa ameshajulikana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom