Yan wewe huwezi kubadilika mpaka mtu aongee?..yan hata akili yako haikwambii sasa nchi hii inahtaji mabadiliko ya haraka?..nyie ndo mlituchagulia watu wanaojua kucheza na maneno na ndio waliotufikisha hapa..na kwa taarifa yako lowasa atakwenda magogoni hvyhvyo kimyakimya we endlea kuwasubir wanaojua ngenga ila sisi tunasubiri spidi ambayo haikuwahi kutokea nchi hii.Mbona mgombea wa Ukawa urais anapoteza kujiamini, kuongea?au mpaka kesho kwenye uzinduzi jangwani?
Mkuu jongea karibu na kauntaha ha ha ha ha.....Mkuu umekaa maeneo gani hapa kona bar....mimi nimesimama hapa kwenye bango natoa oda ya kuku wa kuchoma.
Msikimbilie kuanzisha thread then baadae mnatokomea!!!
Almost TV zote zitaonyesha live ikiwemo TBCCM
Long live President Lowassa.Nzuri hii nimeipenda..,Lowassa for Presidency
Nini kinaendelea hapo Uwanjani kwa sasa?
Jamaa nasikia sauti ilikata mbeya. Ameshajiangusha mwenyewe kabla ya kuna kutuangusha. Hatufai, tumkatae.Yaani lowassa sijui huwa nini kinamkuta. Mnajiandaa sana halafu akija hamna anachoongea cha maana mpaka mkutano unaisha.
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???
Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.
Kwa kilichompata Magufuli mpaka muda huu huko Mbeya namheshimu sana Mungu.