Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu
hakika ukawa ni mpango wa mungu
Naam Ni Siku Nyingine Tena tulivu kabisa...Siku ya kihistoria kwa siasa za Tanzania...
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi..Siku ya uzinduzi wa kampeni za Edward Ngoyai Lowasa(CHADEMA) mgombea anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) hapa viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam...
Timu yako ya waandishi mahiri Molemo Chademakwanza Tumaini Makene tumepiga Kambi hapa tayari kabisa kukuletea kila kitalachojiri...
Msikimbilie kuanzisha thread then baadae mnatokomea!!!
Ccm wakae wajue hii nchi yetu sote
mkisema mgonjwa tunamchagua huyo huyo mgonjwa wetu
mkisema mwizi huo wizi wake ndio tumeupenda
haiwezekani watu wachache wa msoga ambapo maendeleo hawana watuchagulie rais wa nchi yenye watu karibia mil 50
nikitoka hapa corner bar nafuata mswaki wangu Nyumbani mdogo mdogo naelekea Jangwani
standaleone,hongera kwa kushika namba,nilihofu Lumumba wataweka kibaraka awahi kuanzisha uzi halafu akimbie na mods wa siku hizi ni new version!!!
stand alone ni chanzo halali kutoka ufipa mkuu .Msikimbilie kuanzisha thread then baadae mnatokomea!!!