sabas linus
Senior Member
- Dec 14, 2013
- 133
- 27
Ukawa mtukumbuke walimu,wakulima,machinga,mama ntilie wachimbaji wadogowadogo,wafanyabiashara ,madereva,wafungwa hasahasa babu seya na akina shekhe punda na wenzake
Ni kweli mkuu au
Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu
Wewe mangi unaijua jangwani wewe?? Jangwani ina majukwaa? Kanyweni mbege mlale msubiri yule boshen haseme pipooz mrudi kwenu kibosho
Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu