PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Viwanda sasa hivi ni PPP.
Unajuwa ni nini hicho?
Hatuchaguwi chama cha ukanda.
kwa iyo cha kwenu ni chaukanda wa pwani?
Viwanda sasa hivi ni PPP.
Unajuwa ni nini hicho?
Hatuchaguwi chama cha ukanda.
ivi unajua kama magufuri alikuwa padre akafukuzwa?
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Eti CCM nao kesho wana Live yao huko Mbeya Star tv, yaan baada ya kuona chadema /UKAWA wana Live na wao wanaandaa yao sasa sijui nani ataangalia Live yao hiyo!!
Hata kesho JK. na Mkapa watakuwa busy na Jangwani ili kujihakikishia macho yao kama nyomi ya watu ni man-made au natural.
Huko Mbeya umesikia lakini? Muwahisheni hospital au kupata kikombe cha babu maana alihudhuria Samunge.Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Hapepesi hachezi.
Kwani lazima uongee saa nzima?
Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.
Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?
Hivi patatutosha kweli pale?
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Tezi dume ukilipata tu ule mchezo kwisha kazi....
Hivi inakuwaje kifafa kikikupata katikati ya mchezo??
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Nasikia leo Pombe kazidiwa akiwa jukwaani, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
ITV.
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Hahahaha
MAGUFULI AUMBUKA
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ameishia na sauti ghafla hali iliyolazimu mkutano wa kampeni kufungwa pasipo mgombea kumaliza kunadi ilani ya chama.
Magufuli amepatwa na balaa hilo leo hii akiwa mkoani Mbeya hali iliyozua hofu na sintofahamu nyingi juu ya afya ya mgombea huyo wa CCM.
Magufuli ambaye alitakiwa kuongea na waendesha boda boda mara ya mkutano huo kuisha ameishia kuwapungia mkono boda boda hao na juu ya tatizo la afya mgogoro uliomkumba.
Hata hivyo habari zilizotufikia hivi punde zinasema Magufuli amelazwa katika hospitali ya mkoa kwa kile kinachosemekana mapigo yake ya moyo hayapo sawa sawa.
Ikumbukwe moyo wa magufuli unafanya kazi kwa kifaa cha kuchaji kinacho rekebisha mapigo ya moyo kiitwacho "Pacemaker" ambacho kipo mwilini mwake.
Hii ni mara ya pili kupatwa na tatizo la kiafya tangu aanze kampeni za urais. Mara ya kwanza moyo ulileta shida akiwa mkoani Katavi hali iliyopelekea kushindwa kuhutubia katika mkutano mmoja wa hadhara na hivyo kuishia kuwapungia mkono watu waliojitokeza kumsikiliza.
Tatizo hili la moyo linampa wakati mgumu Dk. Magufuli nyakati hizi za kampeni.