Nimepita sasa hivi usiku huu nimeona kuna watu shazi sijui wameshaweka kambi!
huu ni mwaka wa mabadiliko no way ccm lazima tuwatoe madarakani maana hamna namna.
Maana kesho utasikia kuna msafara mnawekwa pembeni muda wote ila kwa miguu watafika tuAise taarifa ninazopata ni kwamba jangwani panaanza kufurika kuanzia muda huu.
Hongereni tupo pamoja ila jiandae kisaikolojia kuwashangilia wa upande wa pili wakiapishwa kuingia Magogoni nanyi mkiwa wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.Mkutano kesho, maandalizi mapema hivi!! Ccm watakima maana UKAWA hawanunui watu. Mr Presda anatajiwa aangalie live ili ajue sio picha za kutengeneza
Mkuu kwa nini hukuandika kiswahili? Hiki kizungu kimeniacha hoi! That what have been said? Kweli? Open their the mind? Kweli? Kwa ufupi Mkuu umetia aibu!!
Ni kweli mafuriko lakini angalieni msije mkasombwa na hayo mafuriko au mkafunikwa na kifusi kwani mafuriko huwa hayana urafiki na mtu. Kazi kwenuDuuh kweli kesho ni mafuriko
kufufua viwanda hewa na bado unatetea hilo
Kama una uzoefu wa kusimamisha wanaume tusaidie kumsimamisha walau kwa nusu saa tu halafu utupe matokeo.
Kama ni hivyo sasa watakaokuja kesho watafikia wapiAise taarifa ninazopata ni kwamba jangwani panaanza kufurika kuanzia muda huu.
unawakumbusha watz machungu ya kumchagua mwenye kifafa cha ubongo!