Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.

Tulianza na mgonjwa Ikulu na tumemaliza naye salama salimini. Masuala ya ugonjwa tumwachie Mwenyezi Mungu.
JK alianguka Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni 2005 na kukimbizwa Muhimbili na juzi ametibiwa tezidume huko Marekani. Tumshukuru Muumba kwa kutuwezesha kupita miaka kumi tukiwa na rais mgonjwa Ikulu. Mungu anatupenda, hata tukipata mgonjwa mwingine tutamaliza naye hivyo hivyo - kazi kubwa iliyo mbele yetu sasa ni kufumua mfumo uliochoka. Mengine tutazungumza baada ya hiyo kazi muhimu. Kila mmoja, awe ccm awe ukawa, awe cho chote atanufaika na mabadiliko. Ni mabadiliko kwa Watz wote ikiwa ni pamoja na FF. Jiunge na teammabadiliko - chagua UKAWA, chagua Lowassa.
 
Anaesema Mh Lowassa mgonjwa ajaribu kumpa 0713 au .uma
 
Kesho madaktari wanatakiwa kuwa karibu na ofisi za Lumumba kwani nchi inaenda kusimama kwa uzinduzi wa kampeni za #UKAWA dar jangwani kesho npo nairobi ningetamani sana kuwepo kwenye hilo tukio la kihistoria lakini ntafuatilia live kwenye tv.
 
Tulianza na mgonjwa Ikulu na tumemaliza naye salama salimini. Masuala ya ugonjwa tumwachie Mwenyezi Mungu.
JK alianguka Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni 2005 na kukimbizwa Muhimbili na juzi ametibiwa tezidume huko Marekani. Tumshukuru Muumba kwa kutuwezesha kupita miaka kumi tukiwa na rais mgonjwa Ikulu. Mungu anatupenda, hata tukipata mgonjwa mwingine tutamaliza naye hivyo hivyo - kazi kubwa iliyo mbele yetu sasa ni kufumua mfumo uliochoka. Mengine tutazungumza baada ya hiyo kazi muhimu. Kila mmoja, awe ccm awe ukawa, awe cho chote atanufaika na mabadiliko. Ni mabadiliko kwa Watz wote ikiwa ni pamoja na FF. Jiunge na teammabadiliko - chagua UKAWA, chagua Lowassa.

Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?
 
Every One Expect Smthng Different Frm That What Have Been Said By Ccm....All Tanzanians We Expect Lowassa To Say Smthng That Will Open Their The Minds And Eyes.All In All I Knw True Tanzanians Without Based On Their Side Wl B Keen Listening,respecting What Have Been Said And Make A Good Choice..
Reminding Me Ni Ccm
#Hapakazitu #umojaniushindi

Mkuu kwa nini hukuandika kiswahili? Hiki kizungu kimeniacha hoi! That what have been said? Kweli? Open their the mind? Kweli? Kwa ufupi Mkuu umetia aibu!!
 
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.

mwaka huu wote ni makafiri sasa wakwetu tutampigia nan ?
huyu mwingine ndo wa kule canon law alafu nasikia alitaka Kuwa padre akafukuzwa sasa itakuaje? au tujaribu kwa huyu nywele nyeupe maarufu kama ostadhi abdala?
 
Urefu wa hotuba unapimwa kwa wingi wa hoja zenye mashiko, busara, hekima na maono ya. Hotuba haipimwi kwa muda uliotumika kuitoa. FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Uzi tu wa maandalizi umejaa hivi,nasubiri uzi wa liveupdates!Kama vp ufunguliwe kabisa leo
 
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Lakini mkuu mgonjwa huyu yuko strong sana FaizaFoxy kwa kuwa hajaanguka katika majukwa, hafla la makanisa, aiport na sehemu za vificho. Yule alianguka na bado kesho yake tukaamini atatuvusha umaskini lakini tumebaki kuwa maskini. Acha tu tumchague na tutamtibu kama ni mgonjwa kama ambavyo tumeendelea kuwatibia wengine marekani au vipi hapo mkuu wangu? Habari za siku nyingi lakini? Nilipumzika kidogo hapa karibia mwaka nilikuwa napita kwenye dash board tu.
 
mwaka huu wote ni makafiri sasa wakwetu tutampigia nan ?
huyu mwingine ndo wa kule canon law alafu nasikia alitaka Kuwa padre akafukuzwa sasa itakuaje? au tujaribu kwa huyu nywele nyeupe maarufu kama ostadhi abdala?
Huyo binti mahaba ya dini yamemjaa pomoni akisikia Lowassa kaslimu atampenda ghafla.
 
Uzi tu wa maandalizi umejaa hivi,nasubiri uzi wa liveupdates!Kama vp ufunguliwe kabisa leo
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu Bome-e wafungue mwingine kesho mambo yakianza tangu asubuhi na mapema kabisaaa. Huu mpaka tulale leo post zitakuwa million na usheee
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom