Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
unawakumbusha watz machungu ya kumchagua mwenye kifafa cha ubongo!
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Wamekuja ona maandalizi ya huo mkutano, wapo watu waliokusanyika hapa
Lakini mkuu mgonjwa huyu yuko strong sana FaizaFoxy kwa kuwa hajaanguka katika majukwa, hafla la makanisa, aiport na sehemu za vificho. Yule alianguka na bado kesho yake tukaamini atatuvusha umaskini lakini tumebaki kuwa maskini. Acha tu tumchague na tutamtibu kama ni mgonjwa kama ambavyo tumeendelea kuwatibia wengine marekani au vipi hapo mkuu wangu? Habari za siku nyingi lakini? Nilipumzika kidogo hapa karibia mwaka nilikuwa napita kwenye dash board tu.
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa
Anaesema Mh Lowassa mgonjwa ajaribu kumpa 0713 au .uma
Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?
Mmmmmmhhhhhh ukawa ni hatari kwa lumumba
Hivi kama UKAWA hiyo kesho pale Jangwani wakiamua kuwajibu CCM kwa kuzidisha muda wa kuzindua kampeni kama walivyofanya CCM last week na pia wakiamua kuwatolea CCM lugha za matusi na kejeli kama walivyofanya wao CCM kwa kuwaita watu wapumbavu na malofa, unategemea NEC watatoa kauli gani? Kila mwana JF atoe maoni yake hapa
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
wewe ungekuwa binti ningekutia mimba kwanza utulie maana una KIHEREHERE sana
Mkutano kesho, maandalizi mapema hivi!! Ccm watakima maana UKAWA hawanunui watu. Mr Presda anatajiwa aangalie live ili ajue sio picha za kutengeneza
Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?
Hivi kama UKAWA hiyo kesho pale Jangwani wakiamua kuwajibu CCM kwa kuzidisha muda wa kuzindua kampeni kama walivyofanya CCM last week na pia wakiamua kuwatolea CCM lugha za matusi na kejeli kama walivyofanya wao CCM kwa kuwaita watu wapumbavu na malofa said:Watagongwa na kitu chenye Ncha kali na pengo lao halitazibika. Tutakachosema ni SISI TULIWAPENDA LAKINI ---------- KAWAPENDA ZAIDI
Kama una uzoefu wa kusimamisha wanaume tusaidie kumsimamisha walau kwa nusu saa tu halafu utupe matokeo.Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?