wachagga
acha wivu!...Kuwakaribisha wake zenu na wanawake zenu ngurdoto wakale bata ndiyo busara?
Mwanamme mzima unashangilia hilo?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kuwakaribisha wake zenu na wanawake zenu ngurdoto wakale bata ndiyo busara?
Mwanamme mzima unashangilia hilo?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.
Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?

Nasikia leo Pombe kazidiwa akiwa jukwaani, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.
Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?
Nasikia leo Pombe kazidiwa akiwa jukwaani, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
ITV.
Na watakuja tena kuulizia cheti cha Zima moto pamoja na BIMA kama ipo
Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?
Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.
Kumbuka hilo.
Acha ukabila na udini wewe, kila unapochangia hoja yoyote lazima ugusie vitu hivyo, we wa wapi?