Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Eti CCM nao kesho wana Live yao huko Mbeya Star tv, yaan baada ya kuona chadema /UKAWA wana Live na wao wanaandaa yao sasa sijui nani ataangalia Live yao hiyo!!

Hata kesho JK. na Mkapa watakuwa busy na Jangwani ili kujihakikishia macho yao kama nyomi ya watu ni man-made au natural.

Kwa Mara nyingine ccm wamemwaribia Magufuli wanaweka live yake Mbeya siku ya uzinduzi wa kampeni wa CHADEMA kama walivyoenda kuchukua fomu siku Lowasa anathibitishwa na Mkutano mkuu wa CHADEMA. Yaweza kuwa kuna wanamuhujumu huyu ndg Pombe
 
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.

Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.

Hiyo chuki yako kwa Ukristo imepitiliza, unatia aibu sana bibi mkubwa, kwani utaendelea kusononeka mpaka siku unaingia kaburini kwani wakristo , waislamu na wasio na dini wataendelea kuwepo hapa nchini la sivyo hama nchi hii.
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba karibu wanaCCM wote mnafuatilia ufunguzi wa Ukawa na mgombea wake mmesahau kama mna mgombea wenu.

ni kweli mkuu mana hakuna hata uzi unaoelezea sera za Pombe akiwa mikoani, tunaskia tu kwamba yupo sumbawanga, mara mbeya ila hawaandiki humu anachokiongea huko. Wote sisi wana Ukawa na maccm tunamjadili Lowasa na Ukawa tu.
 
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.

Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.

nilijua tuu wanga watavamia hapo kama unataka ngonjera basi hata kaimbe taarabu. Tumechoka na mashairi ya lumumba
 
Mtoa mada huna hoja hotuba inaweza kuwa ya dakika tano lakini makini ukawa ni watu makini hakuna haja ya kutoa speach ya masaa matatu kama ya sisiemu isiyokuwana tija na isiyotekelezeka. ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeee

Usimlaumu wamezoea porojo za chama tawala.
 
Mtoa mada huna hoja hotuba inaweza kuwa ya dakika tano lakini makini ukawa ni watu makini hakuna haja ya kutoa speach ya masaa matatu kama ya sisiemu isiyokuwana tija na isiyotekelezeka. ukawa hoyeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa kama atashindwa kusimama hata dakika 30 kuhutubia ataweza ktk mikutano mikubwa ya kimataifa.?? Hoja ni kwamba tuangalie uwezo wa mgombea wetu, uhodari wa kuzungumza na watu, ushirikiano kati ya mwili na matamshi yake.
 
Wanaogopa kuleta ahadi za uongo humu kwani zina tia aibu xo ina bidi wamwongelee lowasa (RAISI WA AWAMU YA TANO)
 
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira

Mtakuwa na viroba na bangi ya kutosha kama ile mliyogawa Unga ltd Arusha mwaka 2011?
 
Ukiwa na kiwanja chenye hati haina maana kuwa una kibali cha ujenzi!! Uwanja wa jangwani wana kibali tayari.Lakini kibali cha ujenzi lazima wawe nacho ili kujenga chochote hapo.Ndio utawala wa sheria zikifuatwa mnang`aka zisipofuatwa mnang`aka hamueleweki.Sheria inatakaj uwe na kibali cha ujenzi.Hilo jengo likija poromokea watu mtasumbua serikali kuwa haikusimamia sheria za ujenzi.

Katafuteni kibali

Na watakuja tena kuulizia cheti cha Zima moto pamoja na BIMA kama ipo
 
Hata kama wakimuandikia atakuwa anatetemeka mikono; afya zero kabisa
Daaaaa sasa kama afya zero kwanini wasingemshauri apumzike tu? Hana washauri. ? Ila pamoja na hayo, mimi nitashawishika kuona anatumia walau dk 45.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom