bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Wambie hao waheshimiwa ili waelewe kwani tukisema ni wajinga watasema mnatukana hivyo inabidi tuwaite waheshimiwaViwanda sasa hivi ni PPP.
Unajuwa ni nini hicho?
Hatuchaguwi chama cha ukanda.
Wambie hao waheshimiwa ili waelewe kwani tukisema ni wajinga watasema mnatukana hivyo inabidi tuwaite waheshimiwaViwanda sasa hivi ni PPP.
Unajuwa ni nini hicho?
Hatuchaguwi chama cha ukanda.
Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.
Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.
Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
Acha ukabila na udini wewe, kila unapochangia hoja yoyote lazima ugusie vitu hivyo, we wa wapi?
Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.
Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?
Mimi binafsi ningependa kusikia yafuatayo
Namna ya kupunguza deni la taifa na utegemezi kutoka nje.
Namna ya kushusha bei ya mafuta na gharama za maisha.
Kuimarisha dhamani ya shilingi.
Kuboresha huduma za afya, na maji vijijini na mjini.
Wazee na walemavu wasio jiweza wawe wanalipwa kila mwezi na serikali.
Kulinda na kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha wtnz wote
Namna ya kutengeneza ajira kwa vijana.
Na Wewe Pendekeza Yako,
Asante.
Hivi ninyi mkoje ninyi ndo mna mawazo ya kikoloni na wazee wenu watawala wa imla ambao wanakaa madarakani miaka kumi na ishirini na kana kwamba hamna watu wengine kwenye vyama vyenu ambao wana uwezo wa kuongoza.leo ni mkesha wa kuikomboa Tz.toka kwa mkoloni ccm.
Loh! Labda si FaizaFoxy, huyo babu mnafik na Lowassa kamzidi unafik.
Wachagga mmenunuliwa kama wale wa Ohio.
Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.
Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
nani amekwambia tunamtaka kasuku? Watanzania hawamwitaji kasuku,
wanamtaka mtu mtendaji na sio kasuku,
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.
Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.