matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Naamini weye mtoto una uwezo wa kuandika kitu bora zaidi ya hiki.
Hii ukawa yenu mpya inakera sana mzee.. Hivi mtu anadanganya kweupee na yenzake yanachekelea kipumbavu.. Jangwani gani ina majukwaa tena yana maandishi.


