DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Standalone = Molemo, Chademakwanza, T Makene?
Watu watatu tofauti hao kamanda.
Magamba wataweka cheka bila network safari hii.
Standalone = Molemo, Chademakwanza, T Makene?
Msikimbilie kuanzisha thread then baadae mnatokomea!!!
Hiyo computer gani ukawa wanatumia kuteneza watu wengi namna hiyo tena usiku, ambayo ccm awana pamoja na kujigamba chama kubwa.
Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu
Chama cha Wachaga
Kwa wataalamu wa photography hiyo siyo ya sasa hivi, acha kudanganya watu
Live updates ziwe live kweli, tuko pamoja wakuu may Lord bless you!!
stand alone ni chanzo halali kutoka ufipa mkuu .
Clips za video muhimu