Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Mleta mada hana longolongo.
Pamoja tunasonga.
Hapa kazi kumnadi makufuli tabu 2pu
Pamoja sana mkuu...
Mleta mada hana longolongo.
Pamoja tunasonga.
Hapa kazi kumnadi makufuli tabu 2pu
Msikimbilie kuanzisha thread then baadae mnatokomea!!!
Hahahaha
MAGUFULI AUMBUKA
Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ameishia na sauti ghafla hali iliyolazimu mkutano wa kampeni kufungwa pasipo mgombea kumaliza kunadi ilani ya chama.
Magufuli amepatwa na balaa hilo leo hii akiwa mkoani Mbeya hali iliyozua hofu na sintofahamu nyingi juu ya afya ya mgombea huyo wa CCM.
Magufuli ambaye alitakiwa kuongea na waendesha boda boda mara ya mkutano huo kuisha ameishia kuwapungia mkono boda boda hao na juu ya tatizo la afya mgogoro uliomkumba.
Hata hivyo habari zilizotufikia hivi punde zinasema Magufuli amelazwa katika hospitali ya mkoa kwa kile kinachosemekana mapigo yake ya moyo hayapo sawa sawa.
Ikumbukwe moyo wa magufuli unafanya kazi kwa kifaa cha kuchaji kinacho rekebisha mapigo ya moyo kiitwacho "Pacemaker" ambacho kipo mwilini mwake.
Hii ni mara ya pili kupatwa na tatizo la kiafya tangu aanze kampeni za urais. Mara ya kwanza moyo ulileta shida akiwa mkoani Katavi hali iliyopelekea kushindwa kuhutubia katika mkutano mmoja wa hadhara na hivyo kuishia kuwapungia mkono watu waliojitokeza kumsikiliza.
Tatizo hili la moyo linampa wakati mgumu Dk. Magufuli nyakati hizi za kampeni.
Naam Ni Siku Nyingine Tena tulivu kabisa...Siku ya kihistoria kwa siasa za Tanzania...
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi..Siku ya uzinduzi wa kampeni za Edward Ngoyai Lowasa(CHADEMA) mgombea anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) hapa viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam...
Timu yako ya waandishi mahiri mimi na wenzangu Molemo Chademakwanza Tumaini Makene tumepiga Kambi hapa tayari kabisa kukuletea kila kitalachojiri...
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???
Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.
mkuu usiwe na wasi wasi huyu ni mtumishi hapo makao makuu
Kwa watu wanaofahamu kazi tunazofanya kwa pamoja hapa jf kwa Live Updates Usitegemee Hilo mkuu..
Wewe Usibanduke hapa...
Asante sana mkuu... nasubiri updates tuu
Duuh!!!! Huu uzi tayar ushaanza kunikimbiza ngoja niegeshe kdg ntakutana nao bdae...ila sijui itakuwa page ya ngapi.Naaaaam! Hili nalo ni neno! Fuatilia thread hii bila ya kuchoka Kamanda!
Kesho siku ambayo watanzania wanaisubiri kwa hamu kushuhudia nchi ikisimama kwa muda kupisha tukio la kuzinduliwa kwa kampeni za uraisi kupitia #UKAWA ambapo raisi mtarajiwa Edward Lowasa atapewa rasmi ilani ya chama .
TOROKA UJE JANGWANI UJE KUUNGANA NA WAPENDA MABADILIKO WENZAKO
Mamamamaaa Hahahaha!
Ccm lazima washike pichu mkononi kwa ukakamavu .
Kova atatoa Tamko kupiga marufuku kutokana na RAIS wa Jamuhuri kushiriki katika campaign za malaria aikubaliki ni marufuku watu kutengeneza mkusanyiko nyakati za usiku bila neti kutokana na urahisi wa kupata malaria na hivyo kupelekea kutofikia kwa malengo ya millenia ya kupunguza vifo vitokanavyo na malaria.
Anaitisha pressconference mda huu.
Kiongozi Nje ya Mada kidogo....Nafuu umenisaidia hili Kamanda wangu! Tuko pamoja!!
Kwa watu wanaofahamu kazi tunazofanya kwa pamoja hapa jf kwa Live Updates Usitegemee Hilo mkuu..
Wewe Usibanduke hapa...
Mimi siyo mchaga lakini KURA yangu CDm