Kha ha haaaaaaaa! Kwa ukweli ndiyo wale wale!
HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!
Standalone heshima mbele mkuu kama umelifurumua usiku huu basi sisi tuliokoa mikoani huku hatutabanduka humu mpaka ulimwengu utakaposhuhidia hapo baadaye kwamba MABADILIKO ni lazima.
Wapumbavu na Malofa tuna vichinjio vyetu..
Mkuu unalikumbuka jarida la sani miaka ya 90?
Ile sura ya LODILOFA kama BEN kabisa.
Afadhali make tulikuwa tumechoka na ranging kijani na njanoNaam Ni Siku Nyingine Tena tulivu kabisa...Siku ya kihistoria kwa siasa za Tanzania...
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi..Siku ya uzinduzi wa kampeni za Edward Ngoyai Lowasa(CHADEMA) mgombea anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) hapa viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam...
Timu yako ya waandishi mahiri mimi na wenzangu Molemo Chademakwanza Tumaini Makene tumepiga Kambi hapa tayari kabisa kukuletea kila kitalachojiri...
Toroka kazini,
toroka shuleni,
toroka nyumbani,
funga duka,
hairisha safari,
kata tiketi,
piga mbizi,
kimbia harusi,
acha lindo,
acha bia,
- toroka uje -
wangekuwa mahiri nayo siwangeyabandika hapa progress!Mko watatu, sasa mshindwe kutupia updates na mapicha yakutosha yenye maelezo.
Wadau tunataka picha ya lowasa kwenye thread za JF kama admin alivyoweka zile za magufuli. Au mmasemaje wadau
Mko watatu, sasa mshindwe kutupia updates na mapicha yakutosha yenye maelezo.
Afadhali make tulikuwa tumechoka na ranging kijani na njano
Mkuu hilo jina lako huku kwetu ni kamba fulani hivi ya kuning'inizia chungu katika kukihifadhi
Tusisahau kuchaji simu jamani.