Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Kamanda lile ni tangazo linatakiwa kulipia siyo suala la kuomba.Uongozi wa Jf tunaomba muweke picha ya Lowassa kama ilivyokuwa kwa Magufuli plz
Kamanda lile ni tangazo linatakiwa kulipia siyo suala la kuomba.Uongozi wa Jf tunaomba muweke picha ya Lowassa kama ilivyokuwa kwa Magufuli plz
Wewe Ajuza unafikiri hapa utapata kijana wa kukutoa ukame? Hakuna mipini ya kuchezea
Aliyeanzisha uzi ni Lumumba mwenzako, kwa hiyo endelea kushangaa kama Pombe anavyomshagaa JKHiyo mbona ni picha ya siku ya fiesta pale leaders.. Ukawa mna vituko. Lowassa amewaambukiza usanii
standaleone,hongera kwa kushika namba,nilihofu Lumumba wataweka kibaraka awahi kuanzisha uzi halafu akimbie na mods wa siku hizi ni new version!!!
CCM mtaondo mtaondokah!Ndiyo kawaida yenu hiyo, mkikosa hoja mnaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Hoja ya ufisadi kwa sasa ni sumu ndani ya CHADEMA.Nasikia Lowassa atafichua ufisadi.
Nasikia leo Pombe kazidiwa akiwa jukwaani, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
ITV.
Ukawa noma wamefunika ile mbaya!
wewe Tressa akili yako ndogo sana sisi cio kokote tupelekwe saiti
tunaenda wenyewe bila kusombwa tumia akili
Hahahaha!
Nawe haulali mama kayayi me nakomaa hapa uarabuni jangwani ukombozi si lelemama.
vijana wa Lumumba wataamuka wakute uzi uko page ya 50
SERENGETI FIESTA 2013 JIJI LA MBEYA USIPIME
![]()
Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine,ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii aliyewahi kuiwakilisa shindano la BSS,Walter Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu.
Habari zaidi SERENGETI FIESTA 2013 JIJI LA MBEYA USPIME ~ g sengo
UKAWA IMEUZWA, SASA IKIWA CHINI YA MENEGEMENT MPYA YA MAFISADI NAYO INAENDESHWA KWA ULAGHAI NA INAFANYA KAZI ZAKE KWA ULAGHAI, NDIO MAANA WATU MAKINI KAMA DR SLAA WAMEAMUA KUJITENGA NA MATAPELI HAWA!
HUU NI MFANO MMOJA WAPO WA NAMNA WANAVYOTUNGA UONGO KILA SIKU.
TOKA WAMEAMBATANA NA FISADI NAO WANAISHI KWA ULAGHAI KAMA FISADI WAO
KESHO MMEPEWA PROPAGANDA ZA WAGOMBEA 30 WA UBUNGE WA CCM KUJITOA NA KUJIUNGA UKAWA, NENDENI MKASHUHUDIE UONGO HUO PIA,MCHANA KWEUPE!