Kwanza, shika adabu yako. Sisi siyo masela wako.Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?
Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna matumaini", basi wewe upo bize kuselekt mavazi ya mtoko wako msibani kwenye akili yako.
Ilishawahi kukutokea wewe?
Share nasisi hapa tucheke wote.
Ni jirani yangu bwana,yupo KCMC na amelazwa mda mrefu tu kwa tatizo la mshtuko wa moyo.Nlikua na mgonjwa ndani ya nyumba yangu alikuja kutibiwa, na nlikua naona kabisa dalili haponi.....nlikua naogopa mnooo yani nikiwaza atakata moto nitaweka maturubai nlikua napata woga namuomba Mungu aepushe naona ni mtihani mkubwa sana sitauweza😭😭 Mungu ni mwema sana alituvusha vema alinipa mtihani huu akijua ninauweza.
Huyo unaempangia mtoko sijui ni nani yako.
JF ya sasa Inasikitisha sana!Tucheke nini? Kuna cha kuchekesha hapo?
Yaani wewe unakuwa busy kuchagua mavazi ufanye mtoko msibani? Na siku mzazi wako au ndugu yako akifa utakuwa busy kupanga mtoko msibani?
Itoshe kusema kama Taifa tumefika hatua mbaya Sana na akili za vijana wa sasa
Wewe ni mwanaume mwoga,wewe ni mjinga sana,yaani unaogopa kifo? Wewe ni tahira la wapi wewe?Kwanza, shika adabu yako. Sisi siyo masela wako.
Pili, wewe huna utu. Unajitayarisha muonekano wako ili ukawaimpress watu msibani. Unajitafutia utanashati hata kwenye msiba?
Jirekebishe.
labda una maanisha jini, ok...!!!Mimi ni genius
Mijitu mingine akili kama zimwi.Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?
Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna matumaini", basi wewe upo bize kuselekt mavazi ya mtoko wako msibani kwenye akili yako.
Ilishawahi kukutokea wewe?
Share nasisi hapa tucheke wote.