Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?
Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna matumaini", basi wewe upo bize kuselekt mavazi ya mtoko wako msibani kwenye akili yako.
Ilishawahi kukutokea wewe?
Share nasisi hapa tucheke wote.