Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama.
Ni kweli kila mmoja atasifia lakini jipe muda wakutafakari mtangulizi wako walimsifia kwa gharama gani? Siku alipoondoka naamini uliambiwa walivyosherekea na kunywa pombe, hao ndio binadamu tuliotengeneza Tanzania.
Familia moja moja mpendwa wao anateseka kwa kukosa ajira, kufukuzwa kazi, kufilisika, mazao kukosa masoko, kufukuzwa na virungu,kukamatwa na kutozwa fedha zisizo za haki na trafiki nk.
Lakini pia nimemsikia mkuu wa mkoa wa Dodoma makao makuu ya nchi akidhibiti milioni 47 zisitumike watu kwenda Mbeya, jiulize wanaenda Mbeya kwa ndege au wanawasha kila mtu gari yake? Kama wanafanya hivyo waliopo Mbeya, Mikoa mingine vipi? Je, wanapokataliwa wanajipanga vipi? Wakisema CCM oyee unaamini wanamaanisha chama Cha mapinduzi au wao moyoni wanamaanisha Chukua chako Mapema?
Tusipotofautisha CHUKUA CHAKO MAPEMA NA CHAMA CHA MAPINDUZI tukakalia kusikia mwangwi wa OYEEEEEE ndipo hapo tunapoishi na wabaya wetu tukiamini ni wazuri wetu.
Lakini pia kura ni matokeo ya maridhiano ya wapiga kura na wapigiwa kura,lini tutajua tunawapiga kura wangapi kama Hadi Sasa hakuna uchaguzi tunaofanya? Na endapo tukitaka uchaguzi,je tunao uwezo wakutafuta wapiga kura miongoni wa wananchi? Jibu, ni NO: hakuna muda wakutosha wakuwatibu majeraha watu, hakuna mpiga kura hata anayevaa shati, kofia na kiatu Cha kijani.
Hawa watu wanavaa kwa kujilinda, kwa usalama wao, kwa usalama wa familia zao na kwa usalama wa miradi yao. Ila ukiwakuta kwenye majadiliano ndipo unagundua Hawa siyo Chama Tawala Bali ni kundi kubwa la Chukua chako Mapema waliojificha kwenye chama Cha mapinduzi.
Kwa Hali hii, andaeni dola warudie walichofanya uchaguzi uliopita. La sivyo akitua Makamu Mwenyekiti wao hapa na wakati huo Mwenyekiti yupo ndani huku familia zikiugulia mateso mbalimbali basi tambueni mtadhalilika.
Kumbukeni yule Bwana akitia mguu hapa kipindi Cha uchaguzi hakuna wakumzuia kugombea Urais na akiingia mtaani kwa kiu wananchi waliyonayo ya ukombozi hata kampeni itawawia vigumu kufanya maana tumezoeleka na kizazi Cha Sasa ambacho hakina ajira na kimesoma wanaoana Raha kufanya Kama akina Hichilema na watafanya si waliopo CCM Wala waliopo nje, watafanya maana wanajua wakifanya Basi ninyi mliopo ofisini mtawapisha.
Mwisho, kumbukeni kwamba ndani ya CCM wamepewa wao madaraka na wanajifanya mafala nakutuaminisha watiifu kwako, nakuhakikishia kwamba Hawa watu lao ni moja isipokuwa tu wanazungumza kwa ishara kipindi ambacho sisi tumewawekea vinasa sauti, natamani tuwawekee vinasa ishara tutajua wazi kwamba mateso mliyowapatia Hadi wakaasi yanawatesa kuliko ujira wa mwiha tunaowapatia.
Natabiri hakuna kiumbe wa kushiriki uchaguzi CCM 2025 hata awepo JK na wengine, Hali Ni ngumu maana hatujui Nani CCM Nani Chadema. Vicheko vyao vina mengi.