Maandamanao ya wanafunzi wa elimu ya tarehe 15/08/2014- Nchi nzima

hivi ukisoma upuuzi kama huu na WW unaweza kuwa kama wao
 
Hili la wanavyuo kukosa hela za field,linanifanya niamini kuwa serikali ya Baba riz imefilisika.Hata huku kwenye halmashauri niliyopo shughuli nyingi zimesimama sababu ya kukosa fedha.
 
Vijana acheni kugoma kuweni watulivu.
 
Tayari magaidi wa ukawa watakua wameshajipenyeza kwenye vyuo vyetu.
 
Na mimi nasema wapigwe

unafikiria kwa ku2mia makali.o sio kosa lako!unajua wanafunzi wanavyopata shida,kuna mdada kwa ugumu wa life amemfata supervisor kuomba msaada jamaa akata game in return,dada wa watu kapanua mapaja!vp kama angekuwa dadaako?kuna vijana wengi tunawaona wanavyohangaika,unaona haya mazuri au wewe huna watoto so huna cha kupoteza shwain mkubwa wew!
Badala ya kuwapa mawazo wafanye ni kwa kutelekezwa kwa wiki 8 we unaona poa 2 nakushangilia wapigwe!
 
Tayari magaidi wa ukawa watakua wameshajipenyeza kwenye vyuo vyetu.

ukawa ndio waliowatelekeza vijana wetu kwa kuwanyima pesa wiki ya 8?vp wew usipopewa mshahara kwa miezi miwili,halafu unataka kudai haki yako m2 anakwambia gaidi la ukawa,utajisikiaje mwanaharamu wewe!
 
Serikali haina hela ki ukweli..si mlisikia juzi tu hapo waajiriwa wapya wa halmashaur serikali imewarudsha nyumban kwa kukosa cha kuwalipa..TUMESHAFIRICKA #
 
Hakuna kulala makamanda tutakuwa pamoja hiyo kesho.
 
ukawa ndio waliowatelekeza vijana wetu kwa kuwanyima pesa wiki ya 8?vp wew usipopewa mshahara kwa miezi miwili,halafu unataka kudai haki yako m2 anakwambia gaidi la ukawa,utajisikiaje mwanaharamu wewe!
ha ha ha,hao wanaosoma hawana wazazi wao wawape hizo pesa za field?.

Kama wanashindwa kuivumilia serikali hata kwa wiki moja then si wawambie wazazi wao wawape?.
Ndo tabu ya kuoa kabla hujajipanga.
Unaoa,unazaa matoto bila kupanga uzazi ,huna uwezo wa kulipia elimu yao,wanageuka kuwa mzigo kwa jamii.
Serikali sio ilowazaa bana,kama wana haraka watumie hela zao.
 
Kweli ccm imeharibu vichwa vya watu, watu wazima kama watoto.nashangaa kuona watu wazima wanajitoa ufahamu eti wanafunzi kuandamana kudai haki yao ni uhaini! VP hao wanaotumbua laki Tartu kila siku? Wanafunzi wanapanga kuandamana kwa amani kudai haki yao wamekuwa ukawa? Je ukawa ndio wanaoandamana kudai haki pekee? Kweli ukawa imewashika pabaya mwaka huu.. wanafunzi wenzangu me naomba niwe coordinator Wa haya maaandamano mkoa Wa arusha japo vyuo vyetu vimepata hela siku nyingi
 
pesa za kulipa bunge la katiba ya ccm inapatikana lakini pesa ya kulipa wanyonge wanafunzi wanaosoma kwa shida haipatikani.hivi hii serikalu ni ya aina gani?mbona inashangaza sana?natoa wito kwa wanafunzi wote wa vyuo vya elimu ya juu kutoichagua ccm mwaka 2015.maana sio mara ya kanza kunyanyaswa kiasi hicho.atakaechagua ccm asilalamike tena
 

Nimekudharau kupita kiasi sikujua una akili ndogo kiasi hicho.
 
So, unawataka wawe na akili kama za UKAWA? Ninyi mliozaliwa nje ya ndoa mna matatizo kila kitu kugoma, kulalamika na ubishi wa kishetani tu. Kuweni kama CCM

wanaowanyima watu laki sita kwa miez miwil huku wakifundisha watoto wenu na kuwapa laki tatu kwa siku wapiga kelele dodoma.......acha ushetani mwogope MUNGU
 
Mimi nitakuwa nauza maji na panadol
 

nashukuru mungu nimebain umepungukiwa akili siyo damu mana nilikuwa napanga kujitolea ya kwangu ...inabidi nikuhurumie tu mana sina masada kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…